Hakuna wa kumkuza samatta, samatta kajikuza mwenyewe kwa uwezo wake binafsi. Tizama akiwa genk, tatizo huku na watu wenyewe anaocheza nao, eti midfielder mudathir anakokota mpira hatua 3 anajikwaa mwenyewe!! Sasa sijui ndio kitete ama hofu!! Binafsi sijawahi kumuelewa na sidhan kama yeye ndio kiungo bora zaidi ya viungo wote hapa tz kiasi cha kuanza yeye!! Mwingine ni huyu himid mao, midfielder za ajabu ajabu tu, wachezaji wa hovyo hovyo afanye nini, sijui beki mwantika!! Tabu tupu.
Mbona game na uganda alifanya vizuri tu
Tz tuna matatizo ila huyu bosi amunike ndio katuongezea shida, kamuacha mkude, haya huyu nyoni anamtupa benchi, kweli nyoni wa kukaa benchi akacheze mwantika!!
Ukweli samata ni moja kati ya wachezaji wachache bora waliowahi kupata kutokea tz.