Mbwana Samatta ni mchezaji wa kawaida sana anakuzwa mno

Mbwana Samatta ni mchezaji wa kawaida sana anakuzwa mno

Asa wewe ni sawa useme Ronaldo hajui kisa kutolewa na Ajax huko juventus alipohamia.
Ilhali team chemistry ni mbovu.
Mbona anawatia kamba wabelgiji km kiwango chake cha kawaida?!
Unajua mpk yeye kuchukua Ebony award usichukulie poa.
Kinachomkabili Samatta ni km kinachomkabili messi.
Team za taifa mbovu uchwara mnalaumu uwezo mzury wa wachezaji kana kwamba wanacheza peke yao.
usimfananishe messi na ujinga
 
Ubelgiji na Tanzania tunalingana kimaendeleo?
Ndiye mfungaji Bora katika Ligi ya ubelgiji Kama Kagere( tz) Messi( Spain) Salah,Manne,aubameyang( England).
Ndiye mchezaji Bora mweusi ubelgiji.
Kasaidia Genk kuwa mabingwa.
Atacheza UCL Mwaka huu.
Wa kawaida kumlinganisha na Nani?
Wapi? Kwa kipindi kipi?
Samata hajawahi kuwa mfungaji bora Wa ligi ya Belgium
 
Mawazo yako hatuwezi kuyaingilia,lakini dunia inamtambua kama SAMAGOAL,hata vilabu maarufu pale UK wanapigana vikumbo kutaka kumsajili kwakuwa wanatambua uwezo wake sio wa kawaida.....
Mkuu dunia gan hyo inayomtambua ,infact Nina rafiki yangu wa afrika kusini ananmbia hawamjui Samata ni nani
 
Samatta si anagoal 20 msimu huu ulioisha na ndo topscorer??..au wewe unajua nani ndo topscorer??

Jamaa yupo sawa..Samatta ni top scorer msimu ulioisha
Mkuu una udhibitisho?

Samatta alipitwa magoli mechi za playoffs[emoji23][emoji23]
 
Hakuna wa kumkuza samatta, samatta kajikuza mwenyewe kwa uwezo wake binafsi. Tizama akiwa genk, tatizo huku na watu wenyewe anaocheza nao, eti midfielder mudathir anakokota mpira hatua 3 anajikwaa mwenyewe!! Sasa sijui ndio kitete ama hofu!! Binafsi sijawahi kumuelewa na sidhan kama yeye ndio kiungo bora zaidi ya viungo wote hapa tz kiasi cha kuanza yeye!! Mwingine ni huyu himid mao, midfielder za ajabu ajabu tu, wachezaji wa hovyo hovyo afanye nini, sijui beki mwantika!! Tabu tupu.
Mbona game na uganda alifanya vizuri tu

Tz tuna matatizo ila huyu bosi amunike ndio katuongezea shida, kamuacha mkude, haya huyu nyoni anamtupa benchi, kweli nyoni wa kukaa benchi akacheze mwantika!!

Ukweli samata ni moja kati ya wachezaji wachache bora waliowahi kupata kutokea tz.
 
Asa wewe ni sawa useme Ronaldo hajui kisa kutolewa na Ajax huko juventus alipohamia.
Ilhali team chemistry ni mbovu.
Mbona anawatia kamba wabelgiji km kiwango chake cha kawaida?!
Unajua mpk yeye kuchukua Ebony award usichukulie poa.
Kinachomkabili Samatta ni km kinachomkabili messi.
Team za taifa mbovu uchwara mnalaumu uwezo mzury wa wachezaji kana kwamba wanacheza peke yao.
Bora umemkumbusha!
 
Mwisho wa siku mara paaaap tz na Samatta inafuzu... Misri ya Argentina na Messi
 
Kwa upande wangu tz mchezaji bora uwanjani ni SIMON MSUVA. Ni mda wa yeye kwenda ufaransa sasa
 
Ubelgiji na Tanzania tunalingana kimaendeleo?
Ndiye mfungaji Bora katika Ligi ya ubelgiji Kama Kagere( tz) Messi( Spain) Salah,Manne,aubameyang( England).
Ndiye mchezaji Bora mweusi ubelgiji.
Kasaidia Genk kuwa mabingwa.
Atacheza UCL Mwaka huu.
Wa kawaida kumlinganisha na Nani?
Wapi? Kwa kipindi kipi?
acha kutulisha matango pori ww hajawai kuwa top score ubelgig rudi maktaba punguza story za kiringeni
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kiatu cha udongo wa majaruba
nikkwapili-20190601-0001.jpeg
 
Hakuna wa kumkuza samatta, samatta kajikuza mwenyewe kwa uwezo wake binafsi. Tizama akiwa genk, tatizo huku na watu wenyewe anaocheza nao, eti midfielder mudathir anakokota mpira hatua 3 anajikwaa mwenyewe!! Sasa sijui ndio kitete ama hofu!! Binafsi sijawahi kumuelewa na sidhan kama yeye ndio kiungo bora zaidi ya viungo wote hapa tz kiasi cha kuanza yeye!! Mwingine ni huyu himid mao, midfielder za ajabu ajabu tu, wachezaji wa hovyo hovyo afanye nini, sijui beki mwantika!! Tabu tupu.
Mbona game na uganda alifanya vizuri tu

Tz tuna matatizo ila huyu bosi amunike ndio katuongezea shida, kamuacha mkude, haya huyu nyoni anamtupa benchi, kweli nyoni wa kukaa benchi akacheze mwantika!!

Ukweli samata ni moja kati ya wachezaji wachache bora waliowahi kupata kutokea tz.
Mkuu yaaani kama vile ulkwa kwenye kichwa changu,huyo Mudathir na Mao sijawahi kuwaelewa kabisa kabisa.
 
wivu unaua maana donda lake ni la ndani kwa ndani, mkubali tu ili upone maana ndo kama anaanza yani[emoji119]
 
Nyati mmoja akikutana na simba kimi na moja lazima aliwe lakini nyati 11 wenye ushirikiano wakikutana na simba 11 lazima muziki unakuweppo. KOCHAAAAAAA!!!
 
Back
Top Bottom