Mbwana Samatta: Nina wazo kwanini Dar isibadilishwe jina ikaitwa Kolomije

Hapana, huwezi kuwa mwajiri wa accountant, management na mwanasheria wakati wewe mwenyewe hujui kusoma na kuandika jamani.

Wachezaji karibia wote wa michezo mikubwa duniani, NBA, NFL, n.k. wanatokea vyuoni.

Kumbe walijua aisee!
Mwanasoka Bora wa Dunia Ronaldo ni mchezaji anae lipwa mshahara mkubwa na anamikataba na makampuni mbalimbali duniani amesoma chuo gani? fuatilia life history yake
 
Kwa hiyo Diamond ni Entity ndogo?
Hata Diamond ningemshauri akae pembeni kwenye vita kama hii ambayo wenye nguvu kubwa na sila wanapambana. Mwenzio akifanya kosa basi hilo kosa haligeuki kuwa sio kosa kwa sababu kuna mtu kama wewe aliwahi fanya au anaendelea kufanya hilo kosa. Two wrongs does'nt make it right.
 
Mwanasoka Bora wa Dunia Ronaldo ni mchezaji anae lipwa mshahara mkubwa na anamikataba na makampuni mbalimbali duniani amesoma chuo gani? fuatilia life history yake

Una assume sijui historia ya Ronaldo.

Ronaldo anajua kuandika angalau.

Halafu Ronaldo anatoka dunia ya kwanza, mtu ambae hajaenda chuo dunia ya kwanza anakuwa na uelewa na upeo mkubwa kuliko mtu wa third world wa darasa la saba kwa sababu ya exposure.

Na hususan mtu wa dunia ya tatu ambae hajui kuandika.
 
Mkuu so far bado Mbwana hajaandika maneno makali au mabaya. Na ndio maana nikawahi kumshauri kama mwenyewe atasoma au kuna mtu alie karibu nae atampelekea ujumbe. Mimi nimeshauri kwa nia njema tu kwa vile jamaa (Samatta) namkubali sana na namuona kama bidhaa au hazina kubwa kwa taifa na familia yake. Mwanzo sikutaka kuongea kwa undani athari zinazoweza kumkuta endapo akiuchukiza upande wowote. Kukatokea post za kuhisia kwamba namchukia na yakaja maswali kwanini anyamaze ndipo ikabidi nijibu kwa undani ili watu waelewe kwanini? Lakini kama mnahisi nimemkosea basi mniwie radhi lakini tabia ya ukweli ni kuja kujidhihirisha wenyewe ukiukwepa. Hakuna atakachopoteza kwa kufuata ushauri wangu. Kazi njema mkuu.
 
Kwa kiwango alichofikia ni hekima tu kutoegemea upande wowote hata kama ni haki yake kutoa maoni yake
 
Kwa kiwango alichofikia ni hekima tu kutoegemea upande wowote hata kama ni haki yake kutoa maoni yake
Kwani kuna upande wa wafake vyeti??
Kila mmoja anahaki ya kupaza sauti kumshinikiza Bashite aoneshe vyeti...
 
Safi sana samata nakuunga mkono NIBORA dar ibadirishwe jina maana tunapoelekea sasa sio kwadar ile tunayoijua sisi hii yasasa inayavisa visasi vitisho watoto kilasiku wanazidi kushuka chini kielimu ukiuliza kwanini jibu linakuja zerooooo ndo tatizo
 
Huo ni uongo samatta hawezi sema hivyo hizo in chuki za watu kumchonganisha,
Sammata ni MTU aliye starabika na ndo maana yuko ulaya, hana mambo ya kikekike kama mnavyofikiria hiyo account ni ya kubuni ili kumchafua.
 
Mkuu chuo kikuu mliman wameanza kutoa mafunzo ya Karate kwa bei poa sana kunzia saa kumi na moja jioni, if interested nkupe contact zao

Sasa Mkuu na huu Umri wangu wa miaka 47 nakaribia 48 hayo mazoezi yenu ya Karate si yatanifanya nishindwe kabisa hata kumbandua Shemeji yako hali ambayo itapelekea Mimi kuchapiwa na Wajanja? Nimeshachelewa Mkuu labda ungenishauri nimtafute tu Mganga anipe Chanjo ya Kuogopwa na Watu au Yule atakayetaka kunichokoza.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa wewe unataka uogopwe kama nanii nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…