mtotowamamanjungu
JF-Expert Member
- Oct 13, 2016
- 351
- 273
Unahisi ccm wataihonga KRC Genk imtimue kijana wa kazi....Kijana acheze soka, apotezee kabisa story za laana za bongo. Asijiingize ktk chuki na kundi lolote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa wewe unataka uogopwe kama nanii nini?
Muulize Mohamed Aboutrika wa Misri alipo sasa hivi!Wanasoka maarufu wanaojitambua wamekuwa chachu ya mabadiko nchini mwao.
Unafikiria kwa kutumia kichwa au kuna kingine? Wewe unaejua kusoma na kuandika umefikia level gani kimaisha? Mwenzako wazungu wanam-respect, heshima aliyokuwa nayo ulaya wewe kijijini kwenu huwezi kuipata mxiuuuu!Lakini bahati mbaya na yeye mwenyewe kuandika hajui. Sijui anawezaje kusoma mikataba anayosainishwa.
"Isibadirishwe"!
Mkuu nimewaza mbali zaidi ya hapo. Nimewaza jamaa anakuja kutujengea Sports Academy kubwa sana kuliko ile ya Abidjan Ivory coast, na kutujengea Li-Muhimbili (Hospital ya rufaa) kubwa sana kwa hivyo nisingependa kuona anakwamishwa na mtu au chombo chochote kile.Unahisi ccm wataihonga KRC Genk imtimue kijana wa kazi....
Mbwana ana akili nyingi. Akili nyingi sio kujua kila kitu au kutokosea bali akili nyingi ni kukubali na kulitambua kosa lako na kujirekebisha. Namkubali sana Popa.Keshafuta hiyo tweet na kuomba radhi
Anaweza asijenge ivyo vyote badala yake akagombea uongozi... Hata pewa kura kwa umaarufu wake ila atapewa kwa mchango wake kisiasa na kiuchumi kipnd yuko kweny platform. Usipende kuwaogopa watawala, hata baltazar alikua mfalme lakin hakupewa ufalme na mungu na ndio mana mambo yake yakawa kama wanayofanya awa wachunga ng'ombe.Mkuu nimewaza mbali zaidi ya hapo. Nimewaza jamaa anakuja kutujengea Sports Academy kubwa sana kuliko ile ya Abidjan Ivory coast, na kutujengea Li-Muhimbili (Hospital ya rufaa) kubwa sana kwa hivyo nisingependa kuona anakwamishwa na mtu au chombo chochote kile.
HakikaLakini bahati mbaya na yeye mwenyewe kuandika hajui. Sijui anawezaje kusoma mikataba anayosainishwa.
"Isibadirishwe"!
Mtazame Mbwana Samatta ktk mazingira ya uwekezaji mkubwa kuanzia miaka 2 au 3 ijayo sio sasa na tukio la kupita la Bashite wa Kolomije.Acha ushamba ww jinga unatambua Kila binadamu Ana freedom of speech?
Kwa hali ya sasa nchini na hulka ya watanzania au watu wote walivyo, kitu chochote kile kitakachoongelewa au kuandikwa hata kwa utani kama ambavyo mbwana samatta alivyoandika, kitachukuliwa serious.Binafsi sioni kama samata , ameingiza saisa hapo.. Ukisoma hiyo sentence nazani ameandika kwa masihara zaidi.. Ili watu wafurahi ..waondokane na stress ..si unajua sikuhizi viroba hamna...vinywaji vingine ni ghari aisee.. Pia ukiangalia watu aliowatag hapo ..( idriss ..joti ).. Mnataka kuniambia alikua serious ???
Utandawazi ndugu, social networks ni nyingi na zina athari kubwa katika kusambaza habari.Kumbe hizi habari zinafika hadi huko mi nilijua zinaishia koromije.