Mbwana Samatta: Nina wazo kwanini Dar isibadilishwe jina ikaitwa Kolomije

Mbwana Samatta: Nina wazo kwanini Dar isibadilishwe jina ikaitwa Kolomije

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa wewe unataka uogopwe kama nanii nini?

au nae alienda kwa Mganga pengine ndiyo maana anatuogopesha japo kuna wengine tumedinda kumuogopa?
 
Wanasoka maarufu wanaojitambua wamekuwa chachu ya mabadiko nchini mwao.
 
We we achana na mambo hayo...we ni Wa kiwango kingine na dunia engine,haya mengine waachie akina Ngasa wewe ni level ya uefa
 
Lakini bahati mbaya na yeye mwenyewe kuandika hajui. Sijui anawezaje kusoma mikataba anayosainishwa.

"Isibadirishwe"!
Unafikiria kwa kutumia kichwa au kuna kingine? Wewe unaejua kusoma na kuandika umefikia level gani kimaisha? Mwenzako wazungu wanam-respect, heshima aliyokuwa nayo ulaya wewe kijijini kwenu huwezi kuipata mxiuuuu!
 
Unahisi ccm wataihonga KRC Genk imtimue kijana wa kazi....
Mkuu nimewaza mbali zaidi ya hapo. Nimewaza jamaa anakuja kutujengea Sports Academy kubwa sana kuliko ile ya Abidjan Ivory coast, na kutujengea Li-Muhimbili (Hospital ya rufaa) kubwa sana kwa hivyo nisingependa kuona anakwamishwa na mtu au chombo chochote kile.
 
Keshafuta hiyo tweet na kuomba radhi
Mbwana ana akili nyingi. Akili nyingi sio kujua kila kitu au kutokosea bali akili nyingi ni kukubali na kulitambua kosa lako na kujirekebisha. Namkubali sana Popa.
 
Mkuu nimewaza mbali zaidi ya hapo. Nimewaza jamaa anakuja kutujengea Sports Academy kubwa sana kuliko ile ya Abidjan Ivory coast, na kutujengea Li-Muhimbili (Hospital ya rufaa) kubwa sana kwa hivyo nisingependa kuona anakwamishwa na mtu au chombo chochote kile.
Anaweza asijenge ivyo vyote badala yake akagombea uongozi... Hata pewa kura kwa umaarufu wake ila atapewa kwa mchango wake kisiasa na kiuchumi kipnd yuko kweny platform. Usipende kuwaogopa watawala, hata baltazar alikua mfalme lakin hakupewa ufalme na mungu na ndio mana mambo yake yakawa kama wanayofanya awa wachunga ng'ombe.
 
Acha ushamba ww jinga unatambua Kila binadamu Ana freedom of speech?
Mtazame Mbwana Samatta ktk mazingira ya uwekezaji mkubwa kuanzia miaka 2 au 3 ijayo sio sasa na tukio la kupita la Bashite wa Kolomije.
 
Binafsi sioni kama samata , ameingiza saisa hapo.. Ukisoma hiyo sentence nazani ameandika kwa masihara zaidi.. Ili watu wafurahi ..waondokane na stress ..si unajua sikuhizi viroba hamna...vinywaji vingine ni ghari aisee.. Pia ukiangalia watu aliowatag hapo ..( idriss ..joti ).. Mnataka kuniambia alikua serious ???
Kwa hali ya sasa nchini na hulka ya watanzania au watu wote walivyo, kitu chochote kile kitakachoongelewa au kuandikwa hata kwa utani kama ambavyo mbwana samatta alivyoandika, kitachukuliwa serious.
 
Yaaan huyu Samatta anajiingiza kwenye hi ishu?! Daah, samatta kaka yangu?, mimi n shabiki yako mkubwa sana, lakini kama umelipwa na wauza madawa kupost hii kitu, tambua umebugi sana, itaku-cost, usitake ugomvi na JPM bila sababu, pliz m brother.
 
Samatta Linda heshima yako. Cheza mpira siasa za huku achana nazo. Hongera kwa kazi yako nzuri Huko ngambo!
 
Misukule ya lumumba inajifanya kuelekeza watu nn cha kufanya wakati inakula unga tu haikumbuki chochote
 
Back
Top Bottom