Mbwana Samatta: Nina wazo kwanini Dar isibadilishwe jina ikaitwa Kolomije

Ndivyo sheria inavyosema? Ukimkosoa au kupingana na kiongoz hupewi vibali halali vya kufanya shughuli zako halali?
JF kuna watu wajinga sana
 
Kwahiyo wewe una akili kuliko Samatta au Manji!
Jamaa hajakosea kukuita mjinga kwa ulichoandika halafu unakiita busara. Kwan sheria inasemaje kuhusu kupata vibali vya kufanya shughuli halali?,inasema ukimkosoa kiongozi hupewi vibali au!?
 
Kwahiyo wewe una akili kuliko Samatta au Manji!
Jamaa hajakosea kukuita mjinga kwa ulichoandika halafu unakiita busara. Kwan sheria inasemaje kuhusu kupata vibali vya kufanya shughuli halali?,inasema ukimkosoa kiongozi hupewi vibali au!?
Nilifikiri kuna watu watakuwa wamejifunza kitu jinsi Manji alivyorudisha baadhi ya vitu baada ya kutoka jela.

Wewe huwezi jadiliana na mimi sababu nadhani una akili nyingi sana na unajua mengi kuhusu biashara na dunia kiujumla.

Upo vizuri Great thinker, mjinga kama mimi sistahili hata kukubishia neno moja.
 
Mpumbavu mkubwa!!!. Jibu swali sheria inasemaje?
 
Kweli kabisa, ilitakiwa baada ya uhuru tubadilishe kila kitu....

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
 
Mpumbavu mkubwa!!!. Jibu swali sheria inasemaje?
Kwanini upoteze muda wako kujadiliana na mtu mpumbavu mkubwa?
Wewe endelea majadiliano na akili kubwa wenzio.

Usijishushe hadhi yako kujadiliana na wapumbavu kama mimi.
 
Kapuuzi haka.....basi kanaona keshakuwa bonge la striker ....na ligi zake za uchochoroni
 
Umemaliza yote kiongozi

Mwenye kuelewa atakuwa amekuelewa

Siasa zina impact kubwa sana kwenye mambo mengi hapa Afrika

Vijana wanafurahia wamepata kinachowapendeza masikioni na machoni mwao!!!!.....

Lakini naamini kabisa kama Mbwana mwenyewe akiusoma ujumbe atajua ubaya wa mambo anayotaka kujinasibisha nayo


Word is enough for the wise
 
Kwani watu hawawezi kujadili ana mambo bila matusi na kejeli.....!!?

Kama mnaona Sawa Samata kutoa maoni yake kama Mtanzania kwanini mnakereka na Watanzania wengine wanaotoa maoni yao..!!!??

Sijui Watanzania uhuru wa kutoa maoni wanautafsiri vipi..!!?

Uhuru wa maoni ni pamoja na kuvumilia kusikia maoni ya wengine ya wengine hata kama yana kinzana na ya kwako!!!....
 
Samatta katika hili umeharibu, siasa zimewavuruga wachezaji wengi, kamuuulize OZIL na mwenzie
 
si vyema kujiingiza huko ,walio karibu naye wamwambie acheze soka hapo atavuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…