Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huyo huyo Tindikali unadhani anajua hilo ulilomwambia? Nafikiri upeo wake ni kukumbuka kuwafungulia kuku asubuhi na kuangakia mkewe anachati na nani kwenye simu. Suala la mchezaji mkubwa wa kimataifa kwamba ni taasisi yenye management na mwanasheri; na kwamba kila mwnadamu ana uhuru wa kujieleza ni ngumu sana kwake kuelewa. Anadhani ukishakuwa mchezaji basi utazame mpira tu na dunia nyingine yote inayokuhusu unai - switch off! Pretty vile!Kaajiri Management na mwanasheria
Mkuu Titicomb sikufahamu, lakini ulichoandika hapo umekosea SANA na sijui lengo lako ni nini. Naomba nibainishe machache ya makosa yako hayo:Niliahidi kukuletea sababu mkuu soma hapo chini:
Mbwana Samatta alipofikia ni kama Entity ya kibiashara, anahitaji kila aina ya support toka kwa kila mtu na kila taasisi. Mbwana anaweza kuja kuwekeza kibiashara hapa nyumbani TZ hasa DSM, huku anahitaji ardhi,leseni za kibiashara, na kusajiri kampuni na kuhitaji endorsement ya serikali na ya taasisi binafsi kama za kanisa la Gwajima na Clouds FM. Atahitaji hizo leseni na ardhi toka serikalini na atatakiwa alipe kodi serikalini. unadhani atakuwa na mazingira rafiki ya kibiashara kama ataingia utata(kuchukiwa) na wenye dhamana huko serikalini wale ambao wako nyuma ya Makonda? Hata akifungua academy ya michezo au hospital kama wenzake akina Kanu, Adebayor, Etoo na Drogba anahitaji usajiri/vibali vya serikali. hawezi kuingiza container la vifaa vya biashara zake au academy bila kufanya tax clearance serikalini na hukomhujui nani yupo nyuma ya Bashite. Haya machache lakini yapo mengi wengine watakuja kuchangia. unafikiri kwanini IPP media hawashabikii sana hizi habari za Bashite? Unafikiri hawataki kuuza sana magazeti yao au wanampenda sana Bashite? je wewe una akili sana ya Biashara kuliko Mzee Mengi na washauri wake? Au Mzee Bhakresa? au Mo? Umemuona Manji au umemuona Mbowe na yanayowakuta unayajua? Sio lazima ukosoe kila kitu bila tafakari!! Kuna mengine yamewazidi upeo wenu wa kufikri na uelewa kuhusu biashara na kufanya vuta na Jamii au media au na Kaisari mwenye dola.
Hana haki?na Tz i itwe Chato kabisa, tumechoka sasaKijana acheze soka, apotezee kabisa story za laana za bongo. Asijiingize ktk chuki na kundi lolote.
Huo sasa wivu,yeye c mtaalami wa sheria wenye fani yao watafanya kwa niaba yakeLakini bahati mbaya na yeye mwenyewe kuandika hajui. Sijui anawezaje kusoma mikataba anayosainishwa.
"Isibadirishwe"!
Kwa hiyo Diamond ni Entity ndogo?Mbwana ni Entity kubwa ya kibiashara kuliko "wauza duka wa mtaani".
Wauza duka wa mtaani hawawezi kuingia mkataba mkubwa na makampuni makubwa ulimwenguni kama Nike, Adidas, AIG n.k lakini Mbwana anaweza. Mbwana anaweza kuingia partinership ya mradi wowote mkubwa na serikali na akapiga mabilioni ya pesa. Kueni vijana mjue ulimwengu wa kibiashara.
Ndio ushangae hapo. Watu huwa tunajisahau sana, kwamba sisi tuna uhuru wa kutoa maoni yetu na wengine hawana eti kwa kuwa wao ni wasanii au wachezaji mpira. Huo ni unafki.Umeongea ikweli sana mkuu.je mbona huyo Bashite ni mshabiki wa simba ilihali yeye mwanasiasa?
Kwani nyie mnao post humu ni wana siasa? Suala la elimu fuatilieni elimu ya Ronaldo wa Madrid ndio mtajijua kinacho wasumbua ni wivu.Nakushauri usijiingize ktk siasa utapotea Sasa hiv
ndo mmezoea kuminya freedom of speech,Kwan yy si mtanzania?Kijana acheze soka, apotezee kabisa story za laana za bongo. Asijiingize ktk chuki na kundi lolote.
Ww mwenyewe kiswahili hujui isibadilishwe unaandika isibadirishwe sijui wawapi wwLakini bahati mbaya na yeye mwenyewe kuandika hajui. Sijui anawezaje kusoma mikataba anayosainishwa.
"Isibadirishwe"!
Ww mwenyewe kiswahili hujui isibadilishwe unaandika isibadirishwe sijui wawapi ww
Huo sasa wivu,yeye c mtaalami wa sheria wenye fani yao watafanya kwa niaba yake
Bosi wangu ngoja nikueleze ukweli, kuna faida kubwa sana kiuchumi na kijamii kwa Mbwana Samatta kukwepa kujiingiza ktk mgogoro huu. Akinyamaza nahisi hatapungukiwa kitu kikubwa kama kuliko ikatokea kuchukiwa na upande wowote wa wanaopambana. Sio lazima uamini maneno yangu. Silence is wisdom kwa wakati flani.ndo mmezoea kuminya freedom of speech,Kwan yy si mtanzania?