Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
labda ongelea TFF.., sababu sidhani kama upo tayari kodi zetu zitumike kwa ulinzi wa watu binafsi (be it celebrity or not) wala sidhani kama mwenyewe binafsi kashindwa kupata ulinzi wake wa kutosha..... (kumbuka serikali haitengenezi pesa bali ni kodi zako na zangu) unless labda uongelee kuwe na mfuko wa wanamichezo na huo sidhani kama utafaa kuwanufaisha tayari walionufaika badala ya kuelekezwa kwenye grassroots