Mbwana Samatta: Shujaa aliyezaliwa Nchi isiyothamini Mashujaa wake

Mbwana Samatta: Shujaa aliyezaliwa Nchi isiyothamini Mashujaa wake

labda ongelea TFF.., sababu sidhani kama upo tayari kodi zetu zitumike kwa ulinzi wa watu binafsi (be it celebrity or not) wala sidhani kama mwenyewe binafsi kashindwa kupata ulinzi wake wa kutosha..... (kumbuka serikali haitengenezi pesa bali ni kodi zako na zangu) unless labda uongelee kuwe na mfuko wa wanamichezo na huo sidhani kama utafaa kuwanufaisha tayari walionufaika badala ya kuelekezwa kwenye grassroots
 
Kusema kweli ilikuwa ni AIBU AIBU AIBU KUBWA SANA!

Hakupata mapokezi yanayostahili toka kwa wahusika wa medani ya kabumbu nchini!

Hiki ni kitu KIKUBWA sana kwenye TASNIA ya MPIRA WA MIGUU toka hili TAIFA lilipozaliwa kwa nini apokelewe na kuondoka Uwanjani kama KIBAKA?!

BABA MTU POLISI MSTAAFU amelalamika sana kwa mapokezi aliyopewa mwanaye.
 
labda ongelea TFF.., sababu sidhani kama upo tayari kodi zetu zitumike kwa ulinzi wa watu binafsi (be it celebrity or not) wala sidhani kama mwenyewe binafsi kashindwa kupata ulinzi wake wa kutosha..... (kumbuka serikali haitengenezi pesa bali ni kodi zako na zangu) unless labda uongelee kuwe na mfuko wa wanamichezo na huo sidhani kama utafaa kuwanufaisha tayari walionufaika badala ya kuelekezwa kwenye grassroots
unataka kusema hujaona mchango wa samatta kwa taifa hili,mkashindwa hata kulinda usalama wake mmwache ajilinde mwenyewe
 
Ukitaka uone unathaminiwa vipi na serikali yako kaue TEMBO na uchukue zike pembe zake!!.
 
Jamani Mbwana anapitishwa mitaani sasa hivi tena na msafara wa polisi na yeye yupo ndani ya gari la waziri wa habari na michezo ametokelezea kwa juu.
Source: Mimi mwenyewe nimemwona na watu wamesimamisha msafara pale Kinondoni na kumshangilia na kupiga picha!!
Nadhani serikali wamesikia malalamiko
 
Nchi yetu ni ya amani hakukua na haja ya ulinzi watanzania tulitaka kumpokea shujaa wetu hao askal wa magufuli wangetupiga virungu buree
 
Back
Top Bottom