unataka kusema hujaona mchango wa samatta kwa taifa hili,mkashindwa hata kulinda usalama wake mmwache ajilinde mwenyewelabda ongelea TFF.., sababu sidhani kama upo tayari kodi zetu zitumike kwa ulinzi wa watu binafsi (be it celebrity or not) wala sidhani kama mwenyewe binafsi kashindwa kupata ulinzi wake wa kutosha..... (kumbuka serikali haitengenezi pesa bali ni kodi zako na zangu) unless labda uongelee kuwe na mfuko wa wanamichezo na huo sidhani kama utafaa kuwanufaisha tayari walionufaika badala ya kuelekezwa kwenye grassroots
Nchi yetu ni ya amani hakukua na haja ya ulinzi watanzania tulitaka kumpokea shujaa wetu hao askal wa magufuli wangetupiga virungu buree