tatizo yeye anataka samata awe na uwezo wa messi, ufungaji wa ronaldo, umilikaji wa mpira kama hazard na madoido ya isco. hakuna center foward wa karne hii mwenye huo uwezo, trust me samata ni world class striker, ndio maana kuna baadhi ya vilabu ENGLAND vimeanza kumnyemelea
Ni aina flani hv ya Ulimbukeni!Me nashangaa sana kusema kweli mtu unashindwa kusaport kaz ya mtz mwenzako unaenda kushabikia akina lukaku kama cyo utumwa ni nini huo..?
Upo sahahihi kabisa kiongoziNa huu ndio ukweli! Wazungu sio wajinga wamtoe Congo mpk Belgium afu jamaa awe hana kitu! Hawa ndio waliompotosha Ngassa, akabaki TAIFA anapiga chenga, tobo, kanzu afu anaangalia Jukwaani.... wanamshangilia.....mayowe..... nje ya uwanja wanampa ofa za bure....
Hhahahaahaha kabisa kaka na uchawi piaNi aina flani hv ya Ulimbukeni!
adui wa mtu ni mtuNa huu ndio ukweli! Wazungu sio wajinga wamtoe Congo mpk Belgium afu jamaa awe hana kitu! Hawa ndio waliompotosha Ngassa, akabaki TAIFA anapiga chenga, tobo, kanzu afu anaangalia Jukwaani.... wanamshangilia.....mayowe..... nje ya uwanja wanampa ofa za bure....
Kweli Mkuu.....adui wa mtu ni mtu
Ndo maana yake kwan hispania c inaongoza kwa pass lakin inaangukia wap...? Mpira ni kufunga tuu na katika mpira hakuna kubaatisha ni uwezo tuu mbona wengine hawabaatishi kila cku anabaatisha mbwana samata tuuJamaa hajui mahitaji ya soka la kisasa! Soka la kisasa wanahitajika mafowad wanaojua kufunga tu! Ruud Va Nisterlooy ktk magoli yote aliofunga United..... ni goli 1 tu alifunga nje ya box!
Naunga mkono hoja, ile ilikua ni impact ya emotional intelligenceKila tukio linatokea kwa kusudi.
Angepata ile penalty, hao jamaa wangesawazisha na mpira ungeishia draw au tungefungwa
Baada ya kukosa ile penalti Samata alijitahidi sana kusahihisha makosa yake na juhudi yake tumeona 80-90% ya goli la kwanza ilikuwa ni juhudi yake
Goli la pili pia 50% ilikuwa juhudu yake Samata japo utulivu na akili nyingi za Mudathir and ujanja wa Boko kuwahadaa mabeki ndio ulizaa goli la pili
Jamaa kaukimbia uzi wake,Samatta kamtia dole la kati jana hivi sasa yupo anaugulia maumivu.Mtu hawezi hata kufanya 0.000001% ya anachofanya Samatta afu bado anamdiss!
Everton! West Ham! Alaves! Warusi! Wote wanamuangalia Samatta afu wewe huku Muuza Ice Cream unajiona unamjua sana Samatta!
Jana wamefurukuta tusubilie yajayoZilibaki zile zile mkuu,pale kocha hakuna
Tatizo kubwa la TZ, wachezaji na makocha ni consistency ya uboraJana wamefurukuta tusubilie yajayo
RKC Gent sijawah isikia hii tim. Kama hujui hata tim gani anachezea Samatta bas achana naye wewe si shabik wakehakuna anayediss, shabiki LAZIMA atashabikia tu no matter what....kwa hiyo Usishangae wazungu wa RKC Gent kumshangilia Samata, wanampa motisha wa kufunga. Ukweli ni kwamba Samatta ana mpira wa kawaida tu, hii wala si kudiss.
Wabongo ni jadi yetu kupondana mkuu wala usishangae.NEGATIVE minded always
RKC Gent sijawah isikia hii tim. Kama hujui hata tim gani anachezea Samatta bas achana naye wewe si shabik wake