Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

Na huu ndio ukweli! Wazungu sio wajinga wamtoe Congo mpk Belgium afu jamaa awe hana kitu! Hawa ndio waliompotosha Ngassa, akabaki TAIFA anapiga chenga, tobo, kanzu afu anaangalia Jukwaani.... wanamshangilia.....mayowe..... nje ya uwanja wanampa ofa za bure....
tatizo yeye anataka samata awe na uwezo wa messi, ufungaji wa ronaldo, umilikaji wa mpira kama hazard na madoido ya isco. hakuna center foward wa karne hii mwenye huo uwezo, trust me samata ni world class striker, ndio maana kuna baadhi ya vilabu ENGLAND vimeanza kumnyemelea
 
Na huu ndio ukweli! Wazungu sio wajinga wamtoe Congo mpk Belgium afu jamaa awe hana kitu! Hawa ndio waliompotosha Ngassa, akabaki TAIFA anapiga chenga, tobo, kanzu afu anaangalia Jukwaani.... wanamshangilia.....mayowe..... nje ya uwanja wanampa ofa za bure....
Upo sahahihi kabisa kiongozi
 
Na huu ndio ukweli! Wazungu sio wajinga wamtoe Congo mpk Belgium afu jamaa awe hana kitu! Hawa ndio waliompotosha Ngassa, akabaki TAIFA anapiga chenga, tobo, kanzu afu anaangalia Jukwaani.... wanamshangilia.....mayowe..... nje ya uwanja wanampa ofa za bure....
adui wa mtu ni mtu
 
Jamaa hajui mahitaji ya soka la kisasa! Soka la kisasa wanahitajika mafowad wanaojua kufunga tu! Ruud Va Nisterlooy ktk magoli yote aliofunga United..... ni goli 1 tu alifunga nje ya box!
Ndo maana yake kwan hispania c inaongoza kwa pass lakin inaangukia wap...? Mpira ni kufunga tuu na katika mpira hakuna kubaatisha ni uwezo tuu mbona wengine hawabaatishi kila cku anabaatisha mbwana samata tuu
 
Kila tukio linatokea kwa kusudi.
Angepata ile penalty, hao jamaa wangesawazisha na mpira ungeishia draw au tungefungwa
Baada ya kukosa ile penalti Samata alijitahidi sana kusahihisha makosa yake na juhudi yake tumeona 80-90% ya goli la kwanza ilikuwa ni juhudi yake
Goli la pili pia 50% ilikuwa juhudu yake Samata japo utulivu na akili nyingi za Mudathir and ujanja wa Boko kuwahadaa mabeki ndio ulizaa goli la pili
Naunga mkono hoja, ile ilikua ni impact ya emotional intelligence
 
Mtu hawezi hata kufanya 0.000001% ya anachofanya Samatta afu bado anamdiss!

Everton! West Ham! Alaves! Warusi! Wote wanamuangalia Samatta afu wewe huku Muuza Ice Cream unajiona unamjua sana Samatta!
Jamaa kaukimbia uzi wake,Samatta kamtia dole la kati jana hivi sasa yupo anaugulia maumivu.
 
Jana wamefurukuta tusubilie yajayo
Tatizo kubwa la TZ, wachezaji na makocha ni consistency ya ubora
Kocha na wachezaji wakimaintain ubora wa jana Afcon 2019 ni yetu na makubwa zaidi tutarajie
 
Jana baada ya Samatta kufunga Goli la pili, nikamsikia kwa Masikio yangu Mtangazaji wa Supersport akisema, nanukuhu..... "This guy Samatta, he is the best and quality player" mwisho wa kunukuhu....!
 
Wakati wazungu wanaimba SamaGoal...SamaGoal. Wabongo tunadis.

Sent using Jamii Forums mobile app

hakuna anayediss, shabiki LAZIMA atashabikia tu no matter what....kwa hiyo Usishangae wazungu wa RKC Gent kumshangilia Samata, wanampa motisha wa kufunga. Ukweli ni kwamba Samatta ana mpira wa kawaida tu, hii wala si kudiss.
 
RKC Gent sijawah isikia hii tim. Kama hujui hata tim gani anachezea Samatta bas achana naye wewe si shabik wake
 
Watanzania sjui tuna tatizo gani yani tunachuki sana,maisha yetu yamejawa unafki mwingi,mwengine akifanikiwa tunachukia tunaanza kafanikiwa ilaa ooh hamna kitu yule bahati tuu ndo anayo daaah! TZ
 
RKC Gent sijawah isikia hii tim. Kama hujui hata tim gani anachezea Samatta bas achana naye wewe si shabik wake

Dogo unafurajisha mno......vidole tu vilikosea kwa sababu naandika fasta situmii simu kama wewe.
 
Juzi vs Cape Verde ulimuonaje?cc Mleta uzi??Nijibu nkkueleze kitu
 
Back
Top Bottom