Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Na huu ndio ukweli! Wazungu sio wajinga wamtoe Congo mpk Belgium afu jamaa awe hana kitu! Hawa ndio waliompotosha Ngassa, akabaki TAIFA anapiga chenga, tobo, kanzu afu anaangalia Jukwaani.... wanamshangilia.....mayowe..... nje ya uwanja wanampa ofa za bure....
tatizo yeye anataka samata awe na uwezo wa messi, ufungaji wa ronaldo, umilikaji wa mpira kama hazard na madoido ya isco. hakuna center foward wa karne hii mwenye huo uwezo, trust me samata ni world class striker, ndio maana kuna baadhi ya vilabu ENGLAND vimeanza kumnyemelea