Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

Basi Kama ni hivyo mpaka Leo angekuwepo mbagala market!
Wewe hadi sasa anahusishwa kujiunga na ligi kubwa za Dunia bado unasema hana Lolote?
Mmoja Kati ya wafungaji bora kwa sasa1st ligi ya ubelgiji ....
 
Kumbuka hata Lukaku yupo Man U lakini hilo halimfanyi kuonekana bora . Samatta ni mchezaji wa kiwango cha Chini kulinganisha na mtu hata Emmanuel Okwi.. Bahati tu inamsaidia
 
Kumbuka hata Lukaku yupo Man U lakini hilo halimfanyi kuonekana bora . Samatta ni mchezaji wa kiwango cha Chini kulinganisha na mtu hata Emmanuel Okwi.. Bahati tu inamsaidia
Jamani njoon mnisaidie kushangaa nazan nimaon yako co mbaya ila taaira cmmpaka atoe ute
 
Hapa tunaongelea uwezo binafsi wa mtu...kuanzia strategies, Skills and all techniques za standard footballer...unaweza ukachukuwa tuzo au ukabahatika kucheza ulaya ila ukawa na kiwango cha kawaida sana...usikariri Aisee Samatta ni Player wa Kawaida mno.
Na kweli Okwi alitwaa tuzo ya Mchezaji bora wa Africa Kwa wachezi wa ndani, afu amecheza sana Europa
 
Ndo maana nkasema skills za Okwi zimemsaidia kupata hayo niliyotaja
Kama ulikuwa makini kusoma uzi na tittle yake utakutana na neno "bahati" ..nadhani umeelewa effect ya bahati inavyopindua historia...Okwi is better than Samatta technically..the only difference is that, Okwi had/has missed a chance to play in Europe but he could do so in any big European league.
 
Ndo maana nkasema skills za Okwi zimemsaidia kupata hayo niliyotaja
Naweza kusema Okwi amekosa bahati ya kuwa Pro. Player in Europe but he could do better kama angepata nafasi.
 
Anabebwa na timu yake, ye uwezo wake wa kawaida. Tangu avalishwe hii tshirt, hajafunga hata goli moja
aisee hii forward butu sana...😂😂😂hiyo jezi alipopewa tu akawa garasa zaidi ya Mavugo.
 
Tunamtakia kila la heri lkn aongeze juhudi, asilewe sifa na kuwa mzito kama amebeba furushi
Lakini still wa pili anazidiwa goli moja na anayeongoza, so anaweza pindua matokeo, na Anaweza beba ndoo ya ligi hivi vyote vinamuongezea CV
 
He is back
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…