[emoji122] [emoji122] [emoji122]Hii imekaa poa sana.....auendeleze moto huu huu.
Anatafuta pa kuficha uso wake x mass hiiHuyu mpuuzi alieanzisha uzi yukoapi now
Samata anabahati ndiyo, lakini kipaji na kujituma vinampa uwezo wa kuwika ulayaAnatafuta pa kuficha uso wake x mass hii
HaaaaKashaweka mzani uko 1-1 now
Tatizo wengi mmeishia kusoma tittle ya Uzi tu ila content hamjaielewa.....hapa lengo si kubishana nani anajua uchambuzi au nani hajui...tunaangalia reality coz mchezaji bora ni yule mwenye individual creativity uwanjani sio top finisher peke yake lazma mchezaji uwe na mbinu mbadala badala ya kuwa static.Samatta anajibu kwa vitendo sio maneno ya kwenye daladala!!
Mtu hata kwenye chandimu ulikuwa hufungi ila leo unajifanya mchambuzi wa mpira zaidi ya Mwl Kashasha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusifu tunasifu sana tu labda kama unataka tumwabudu kabisa.....oky! Shortly ni kwamba Samatta anabadilika siku hizi si sawa na miezi kadhaa iliyopita..bila shaka anapitia huu uziMfungaji bora wa ligi msimu huu na timu yao inaongoza ligi hukustaili kumkosea heshima.
Ila ndio ivyo wabongo hatuwezi kusifiana