Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

Mfungaji bora wa ligi msimu huu na timu yao inaongoza ligi hukustaili kumkosea heshima.
Ila ndio ivyo wabongo hatuwezi kusifiana
 
Samatta anajibu kwa vitendo sio maneno ya kwenye daladala!!

Mtu hata kwenye chandimu ulikuwa hufungi ila leo unajifanya mchambuzi wa mpira zaidi ya Mwl Kashasha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samatta anajibu kwa vitendo sio maneno ya kwenye daladala!!

Mtu hata kwenye chandimu ulikuwa hufungi ila leo unajifanya mchambuzi wa mpira zaidi ya Mwl Kashasha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo wengi mmeishia kusoma tittle ya Uzi tu ila content hamjaielewa.....hapa lengo si kubishana nani anajua uchambuzi au nani hajui...tunaangalia reality coz mchezaji bora ni yule mwenye individual creativity uwanjani sio top finisher peke yake lazma mchezaji uwe na mbinu mbadala badala ya kuwa static.
 
Mfungaji bora wa ligi msimu huu na timu yao inaongoza ligi hukustaili kumkosea heshima.
Ila ndio ivyo wabongo hatuwezi kusifiana
Kusifu tunasifu sana tu labda kama unataka tumwabudu kabisa.....oky! Shortly ni kwamba Samatta anabadilika siku hizi si sawa na miezi kadhaa iliyopita..bila shaka anapitia huu uzi
 
Peter crouch,solomon rondon,zapata,callum wilson,deenay,ayo perez.
Nao vp wana bahati au?
 
Back
Top Bottom