Mzee umenifuraisha sanaunataka kuleta manenomaneno kama kwenye ligi zetu hapa bongo? kule hawaangalii umechekecha mpira kiasi gani ila je goli lako linawarudisha nyumbani na point 3? kawaulize spain waliokuwa wakichekecha mpira kombe la dunia walirudi na nini.
wala sijataka mipasho....usibishane wakati mechi za Genk huziangalii...sanasana unawategemea akina Shafii Dauda waweke viclip Insta.....anza kuangalia then uje na huo ubishi wako wa kipuuziSasa magoli yote hayo ni bahat...basi samata atakua ni mwenye bahat sana yani kila mechi ni mbahatishaji nimeshanga sana jinsi ulivyo kua na roho mbaya kumpa credits kijana wa kitanzania inakukondesha nini
Sent using Jamii Forums mobile app
akikutana na mabeki werevu hafurukutiKazi yake nikutumia nafasi anazozipata nakuzibadilisha kuwa magoli bhas!!!!!mengine mbwembwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo una inferior complex ndio maana unaleta upuuzi wa kuwataja wazungu...Idiot!!!Wazungu hawamini kitu kinaitwa bahati,haya mambo ya bahati yako Afrika na sehemu nyengine za dunia lakini sio wazungu,...Kama wazungu wamemuona na kumchukua katika zao basi wameona uwezo wake...
Ukweli unabaki palepale....jamaa anabebwa na bahati ila mguuni wa kawaida sana!Kwasababu wewe sio kocha wa Genk au timu yoyote ya soka ndio maana umemuona wa kawaida na utaendelea kumuona wa kawaida.
Halafu unaomuona wa kawaida sana na hatishi ukimlinganisha labda na nani anayetisha au ulitaka atishe kwenye nini zaid ili ufikie uamuzi wa kumuona anatisha?
Aliyemsajili anaijua kazi yake na ndiye ayemtuma afanye hayo unayoyaona miguuni mwake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, naona Tanzania imekosa bahati kabisa ila kwa Samata pekeeUkweli unabaki palepale....jamaa anabebwa na bahati ila mguuni wa kawaida sana!
hamna bahati hapo huyo jamaa anajua mahala pa kuusubiri mpira na mahala goli lilipoUkweli unabaki palepale....jamaa anabebwa na bahati ila mguuni wa kawaida sana!
Kaka huo ndio ukweli,hakuna "bahati" kuna kujituma,wazungu wametuzidi kwa kila kitu,sina "inferior complex",isipokuwa nawaheshimu,sijui kama unajua nini maana ya hili neno "inferior complex",kwasababu halileti maana katika haya tunayoyaongelea katika hii madaTatizo una inferior complex ndio maana unaleta upuuzi wa kuwataja wazungu...Idiot!!!
Nayaheshimu mawazo yako.
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa Mbwana Samatta Tangu alivyotua katika Club ya KRC Genk ya Belgium akitokea TP Mazembe ya DRC.Kiukweli jamaa kiwango chake ni cha kawaida sana na anabebwa sana na bahati kubwa aliyonayo kwani performance yake haitishi sana. Ukiangalia magoli anayofunga asilimia kubwa ni ya kawaida sana yasiyo na ufundi (hufunga zaidi kwa kichwa na asilimia kidogo kwa mguu na setpieces).Kwa namna soka la Ulaya lilivyokuwa na ushindani hasa kwa mabeki wakatili (kama akina Pepe) sioni Samatta akifanya lolote mbele yao, kwani mbinu zake mguuni hazitishi mabeki na ni za kawaida sana.Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.....Jamaa some how Anajitahidi na anaendelea kujitahidi kwani ameonesha ujasiri na amekuwa Idol kwa Vijana wengi wenye ndoto za mafanikio kwenye soka kama ya Samatta. Kama ataweza kuuona uzi huu au aambiwe na mtu wake wa karibu aliyeko humu basi nimwombe ndugu yangu Samatta, aongeze zaidi juhudi na ajifunze mbinu nyingi za kufunga kwani yeye kama forward kazi yake uwanjani ni magoli tu na si vinginevyo. Bila kisahau Kujisahau na Kuvimba kichwa akuepuke sana kwani magazeti ya bongo yanapamba wachezaji hadi wanakuwa under pressure na mwishowe huharibu carrier yao.
Acha uchawi boss wangu .Tofauti ya Lukaku na Samatta ni kwamba, Lukaku anafunga magoli mazuri na ya kiufundi na pia anakosa magol magoli mepesi...Samatta yeye anafunga magoli mepesi yasiyo na ufundi