Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

Kuna yule jamaa wa RB LIEPZIG ya Ujerumani mwenye asili ya Tanzania YUSUPH POULSEN.
Ukimtazama hata mchana kweupe utagundua hata AJIBU anamtoa namba lkn yuko BUNDESLIGA anakula noti.

Kwa ufupi SAMATTA anauwezo wa kucheza Ligi kubwa mbali na BELGIUM.. kuna players ukiwaona viwango vyao na klabu anayocheza ..unaweza kusema kwao ni WACHAWI ..
kwa jinsi Genk wanamtumia Samatta wao wanaona anafaa..

Nimeacha rasmi kula msuba.
 
Messi mwenyewe alikosa goal kombe la dunia, wabongo jamani sikuhizi me kwa majungu duu wanaongoza

Sent using Jamii Forums mobile app
Wape takwimu hizi (world cup, 2018) Russia.

Penati Hazina Fundi
Tujikumbushe, wachezaji waliokosa penati hadi sasa (Worldcup, 2018).

1. Messi10 (Argentina vs Iceland, 90')

2. Ronaldo (Portugal vs Iran, 90').

3. Modric (Croatia vs Denmark, 90').

4. Eriksen (Croatia vs Denmark, 120').

5. Cueva (Peru vs Denmark, 90').

6. Sigurdsson (Iceland vs Nigeria, 90')

7. Al Muwallad (Saudi Arabia vs Egypt, 90').

8. Ruiz (Costa Rica vs Switzerland, 90').

[emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji1430]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo threads zimeanzia instergram baada ya kusikia/kuna akikosa penaltie Leo lakini siku zote sizionagi
Wape takwimu hizi (world cup, 2018) Russia.

Penati Hazina Fundi
Tujikumbushe, wachezaji waliokosa penati hadi sasa (Worldcup, 2018).

1. Messi10 (Argentina vs Iceland, 90')

2. Ronaldo (Portugal vs Iran, 90').

3. Modric (Croatia vs Denmark, 90').

4. Eriksen (Croatia vs Denmark, 120').

5. Cueva (Peru vs Denmark, 90').

6. Sigurdsson (Iceland vs Nigeria, 90')

7. Al Muwallad (Saudi Arabia vs Egypt, 90').

8. Ruiz (Costa Rica vs Switzerland, 90').

[emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji1430]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huwa anafunga ila kwa kubahatisha yaani timu kama Anderlecht, Na Clube Brugge huwa zinawapa shida sana. yeye anazionea timu kama vile Eupen, Oostende, kortrijk, na Waasland Beveren....ila hapo kwa Anderlecht, Clube Brugge, Standard Liege na Gent huwa wanapata matokeo kwa tabu saana
Empty set kabisa samata goli la kwanza akiwa genk aliwafunga club blugge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hacha wivu wa kike kwa kijana mwenzio aliyekuzidi kwa kila kitu bahati ni jina la mtu tena mmama muimba kwaya wewe sio shabiki wa mpira pepe anacheza wapi saiz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza tambua kuwa kipaji bila jitihada ni sawa na bure

ni kweli wapo walio mzidi kipaji samata lakini bado hata ligi kuu wanaiskia kwenye bomba

Kuna wachezaji wakawaida sana wanaocheza vilabu vikubwa ulaya lakini uwezo wao ni mdogo kulinganisha na walio kwenye tim ndogo ndogo

Bahati inahusika sana kwenyeafanikio ya mtu
Lakini hata uwe na bahati kiasi gani kama huna kipaji na hujitumi huwez fika mbali utakuwa tu na mafanikio ya kawaida au yasiyo dumu.

Kwa mfano anko alikuwa na kipaji na alikuwa na bahati naweza sema kuliko samata ...lakini aliishia kufanya majaribio na kuoa wake wengi

Kimsingi anastahiri alicho kipata
Na siku zote anaevuna mpunga alipanda mpunga.....

nenda shule kwanza kajifunze kuandika kwa ufasaha ndio uje kubishana huku.....kuandika kwenyewe hujui sijui unadhani huku ni kule "Efubii" kwenu!!!! 😂😂😂 OKW BOBAN SUNZU njoo uchukuwe kilaza wako huku mkuu.
 
Kwanza tambua kuwa kipaji bila jitihada ni sawa na bure

ni kweli wapo walio mzidi kipaji samata lakini bado hata ligi kuu wanaiskia kwenye bomba

Kuna wachezaji wakawaida sana wanaocheza vilabu vikubwa ulaya lakini uwezo wao ni mdogo kulinganisha na walio kwenye tim ndogo ndogo

Bahati inahusika sana kwenyeafanikio ya mtu
Lakini hata uwe na bahati kiasi gani kama huna kipaji na hujitumi huwez fika mbali utakuwa tu na mafanikio ya kawaida au yasiyo dumu.

Kwa mfano anko alikuwa na kipaji na alikuwa na bahati naweza sema kuliko samata ...lakini aliishia kufanya majaribio na kuoa wake wengi

Kimsingi anastahiri alicho kipata
Na siku zote anaevuna mpunga alipanda mpunga.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Heko!! Umenena vyema
 
huwa anafunga ila kwa kubahatisha yaani timu kama Anderlecht, Na Clube Brugge huwa zinawapa shida sana. yeye anazionea timu kama vile Eupen, Oostende, kortrijk, na Waasland Beveren....ila hapo kwa Anderlecht, Clube Brugge, Standard Liege na Gent huwa wanapata matokeo kwa tabu saana
Yani hiki kijamaaa kama kichawi kwani wale genk hawakuliona hilo unalosema toka akiwa tp mazembe? Au unadhani wanajisajilia tu kwa kumfanyia mchezaji majaribio kama wafanyavyo simba na Yanga? Kumbuka walimfuatilia kwa kipindi kirefu kabla ya kumsajili na hata hao levante walioshindwana maslahi na genk ni hivyo Hivyo .....Acha umburula usitake kuwatoa akili Caf waliompa tuzo, Tp , Genk, Levante na klabu zote zinazohitaji huduma yake... Striking is scoring Only... Humuoni costa? Chicharito? Lukaku? Drogba ?na wengine kibao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wazungu wanaimba SamaGoal...SamaGoal. Wabongo tunadis.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wabongo bali HUYU MLETA UZI ANA MATATIZO MAKUBWA WALAHI
F9E987FD-8C30-42AB-A6EA-4C91CACDC1D5.jpeg
 
Yani hiki kijamaaa kama kichawi kwani wale genk hawakuliona hilo unalosema toka akiwa tp mazembe? Au unadhani wanajisajilia tu kwa kumfanyia mchezaji majaribio kama wafanyavyo simba na Yanga? Kumbuka walimfuatilia kwa kipindi kirefu kabla ya kumsajili na hata hao levante walioshindwana maslahi na genk ni hivyo Hivyo .....Acha umburula usitake kuwatoa akili Caf waliompa tuzo, Tp , Genk, Levante na klabu zote zinazohitaji huduma yake... Striking is scoring Only... Humuoni costa? Chicharito? Lukaku? Drogba ?na wengine kibao

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wee ni mpuuzi 😂😂😂unamfananisha Costa, Drogba kwa Samatta?? Una njaa wewe amka ule kiporo!!
 
Back
Top Bottom