Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

Thienry Henry alimpa options mbili acheze kwa kuwakimbia mabeki au kwa kuwakabili, ameamua kuwakimbia na kupachika mabao, hayo mambo yamepangwa sio bahati, bahati kila siku!
 
Ingia goal. com kaka haina haja ya kupishana alafu urud na maanake genk 4 zw 0
Aha poa kaka m nlchek game lile bao la mwsh kama lilkua lxhaingia nd samat kaxogeza ila poah kapg hattrick aje afunge na kwny game mbl za stars
 
Zaidi ya matokeo, football is entertainment....lazima mfungaji awakune watazamaji kwa kujitahidi kufunga magoli yenye mvuto kadri awezavyo...tunataka magoli bora na si bora magoli...ndio maana mechi na Uganda alikosa goli la wazi kwa sababu ya kukariri kufunga "kiboya"
Hao mashabiki anawakuna kwa kufunga magoli, inaonekana umejaa chuki dhidi yake kwahiyo hata afanye nini hawez kukukuna mana hata hiyo ngozi huna
 
Kwa taarifa tu mwaka huu wa 2018/19 katika ligi ya ubelgiji Samatta kashafunga goli sita na kumfanya kuwa mfungaji wa pili kwa ligi na nafikiri wa kwanza kwa Timu yake ya Genk.
Ameiwezesha pia Genk kufikisha point 23 katika mechi 9 na kushika nafasi ya pili kwa msimamo wa sasahivi wa ligi. Kwa mwendeno huu katika mwaka wake wa 25 bado anayo nafasi ya kufanya vizuri sana
 
Mechi ya jana hiyo katupia Hat Trick. Anakula salary saafi, wewe endelea kupiga porojo
Screenshot_20180929-211734.jpeg
 
CPV 3-0 TAN nimeshindwa kumalizia dakika za nyongeza sijui goal ziliongezeka au la
 
Back
Top Bottom