Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama kafungia tako au gegedo ili mradi kafunga kwani ndio kazi yake.
Huyu mleta mada usikute hana hata ujuzi wa mpira zaidi tu ya kuwa mnywa kahawa wa magemgeni
Aache uchawi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu yaishe naona mnafika mbali zaidi msije anza taftana uraianiEti mnywa kahawa dah!...dogo una dharau sana....ungejua!!
Acha kupotosha kapg gol mbl na asist mojaJana kapiga hat trick
Ingia goal. com kaka haina haja ya kupishana alafu urud na maanake genk 4 zw 0Acha kupotosha kapg gol mbl na asist moja
Aha poa kaka m nlchek game lile bao la mwsh kama lilkua lxhaingia nd samat kaxogeza ila poah kapg hattrick aje afunge na kwny game mbl za starsIngia goal. com kaka haina haja ya kupishana alafu urud na maanake genk 4 zw 0
Hao mashabiki anawakuna kwa kufunga magoli, inaonekana umejaa chuki dhidi yake kwahiyo hata afanye nini hawez kukukuna mana hata hiyo ngozi hunaZaidi ya matokeo, football is entertainment....lazima mfungaji awakune watazamaji kwa kujitahidi kufunga magoli yenye mvuto kadri awezavyo...tunataka magoli bora na si bora magoli...ndio maana mechi na Uganda alikosa goli la wazi kwa sababu ya kukariri kufunga "kiboya"
Tatizo watu huwa hampendi kuambiwa ukweli, mshauriwa akizingatia ushauri atakuwa mchezaji mzuri.
Kulikoni hukoCPV 3-0 TAN nimeshindwa kumalizia dakika za nyongeza sijui goal ziliongezeka au la