Mbwembwe gani ulianza nazo mwaka??

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,627
Reaction score
38,689
Mwaka ulivyoanza watu huwa wanajitahidi kubadili tabia ama kujaribu kufanya mambo mapya kwa mbwembwe za kila aina lakini kadri mda unavyoenda anajikuta kasharudi kwenye hali yake ya kawaida (default settings)

Mimi nilianza na jogging kwa mbwembwe zote,nilijitahidi niwe nakunywa siku za wkend tu,nilianza kusoma vitabu pia lakini kadri mda unavyoenda naona nisharudi kwenye settings zangu za zamani

Wewe ulianza na mbwembwe gani?

Hahaha nimekumbuka pia nilianza na mbwembwe za kujifanya nakula mboga mboga na matunda ila naona nisharudi kwenye hali ya kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakikaa mkuu ni ngumu sana kunywa bia za kujipangia mda....

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa Mkuu!

Nilikua nimezoea nikitoka kazini,napitia bar nashtua bia mbili tatu,nabuy time mpaka saa tano tano narudi nyumbani!

Kuanzia tar 1 nikasema sigusi kabisa,ikawa saa 11 nikitoka nawahi nyumbani ila nimeshindwa Mkuu,nimeweza kufanya kwa siku 5 tu!
 
Nilimaliza week 1 bila kufanya mapenzi!
nikajiona star na nimewini!
week ya 2 nikashangaa Hali imezidi kwa Kasi kuliko mwanzo.

Naona mwaka Huu Nime advance kwenye kufanya mapenzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kufanya mazoezi.kusoma E-Books na meditation mkuu " mnamo mwezi wa 11 mwaka jana baada ya kusikia mawaidha katika station ya radio fulani hivi online ...

Basi nikajikuta na hamasika sana kufanya hivyo vitu tajwa hapo kwenye Aya ya kwanza "....

Basi haraka harak bila ya kuchelewa ni kakaa chini na ku-create upya ratiba yangu " Ambayo ilikuwa inanilazimu kuamka saa 9:40 usiku "....... nikawa natekeleza hivyo vyote kwa kufuata mtiriliko wa ratiba " kisha baada ya hapo ndio najiandaa kwenda katika pilika zangu za kila siku ....

Mmh --, bahati mbaya ni kwamba sasa hivi nina week ya pili nimeshindwa kudumu katika program yangu "

Roho inaniuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tabia hujenga mazoea ungekomaa ungeweza tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah, wewe upo kama mimi nilipanga mwaka huu ni kusoma biblia na kupata muda wa kuzungumza na Mungu kila siku kabla sijalala, lkn toka wk iliyopita sijafanya hicho kitu. Narudi nimechoka hata kushika biblia shida.

Write your reply...
Me nilidhamiria mwaka huu kusoma Biblia nikaanza na mbwembwe saiv wiki ya tatu cjasoma licha kueka alarm ya na ratiba juu..
Eeh..Mungu nisamehe

Be Humble is free of charge [emoji873]
 
Mke yupo mbali kimasomo,kwa hiyo nna utaratibu kujilipua nyeto pale hamu inapozidi.toka mwaka desemba 23 na kuendelea mpaka mwaka huu niliweka nadhiri ya kuacha huu mchezo,ngoma imekwenda mpaka jumamosi ya juzi,nikaona. Kwanini niteseke? Nikafungulia bomba,chapa goli nane jumamosi,mbili jumapili,na leo moja, hii tabia naichukia sana ,kuchepuka hapana siwezi msaliti mke wangu,nikifanya mazoezi hamu ndio inazidi mana mwili unakuwa hot kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…