Mbwembwe gani ulianza nazo mwaka??

Mbwembwe gani ulianza nazo mwaka??

Dah, wewe upo kama mimi nilipanga mwaka huu ni kusoma biblia na kupata muda wa kuzungumza na Mungu kila siku kabla sijalala, lkn toka wk iliyopita sijafanya hicho kitu. Narudi nimechoka hata kushika biblia shida.

Be Humble is free of charge [emoji873]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama nakuona ukianza kusali unaamka asubuhi kusema Amen!
 
Bebe inamaana bia ni tamu kuliko mimi!![emoji134][emoji134]
Hapana bebee!

Aisee siwezi nikakulinganisha na vitu vya kijinga kabisa bebee

Vipi huwa unaonja kidogo bebee?
 
Hapo sawaa bebee

Maana Bia inashuka vizuri saana ukiwa na bebee pembeni
Oooh kumbe!! Sasa mbona huwa huniambii twende wote? Au huwa unakuwa na nani?[emoji134](wivu sinaaa.....[emoji443][emoji441])
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama nakuona ukianza kusali unaamka asubuhi kusema Amen!
Hahaa yaani kweli tupu unasali huku unasinzia

Be Humble is free of charge [emoji873]
 
Oooh kumbe!! Sasa mbona huwa huniambii twende wote? Au huwa unakuwa na nani?[emoji134](wivu sinaaa.....[emoji443][emoji441])
Hahaha!

Bebee huwa nipo peke yangu,naonaga tu kwa wenzangu jinsi bia zinavyoshuka wakiwa na mabebee zao!

Na mimi nataka kufurahi pia kama wenzangu bebee!
 
Back
Top Bottom