Mbwembwe nyingiii! Uwanjani hamna kitu

Mbwembwe nyingiii! Uwanjani hamna kitu

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Huwa nawashangaa sana watani wa jadi Simba na Yanga, mara zote kabla ya mechi utashuhudia majigambo na mbwembwe nyingiii halafu tunafika uwanjani kwa wingi tunashuhidia mpira wa makaratasi!

Huuu ni ujinga na ushamba wa kizamani, wapenzi wa soka tunataka kuona ufundi wa kusakata kabumbu sio maneno, kila mshabiki anataka kuona improvements kwa timu yake sio kukamiana kijinga......tuache mambo ya kizamani chezeni mpira wa kifundi mashabiki wapate raha.

Kila la heri kwa mnyama.
 
Mpira uchezwe kwa akili na maarifa, sio butua ni butue!!!!

Wachezaji wetu wabadilike, tunataka kuona ufundi mwingi, ukomavo na maarifa ya kutosha.

Sio ilimradi kupachika goli tu..............
 
mpira uchezwe kwa akili na maarifa, sio butua ni butue!!!!

Kwasasa hakuna mechi inayokuwa tamu kama Azam akicheza na Yanga.
 
Ufundi wa Mpira uko Yanga boli linaanzia Kwa Diarra kipa mwenye footwork Bora duniani kwasasa boli anampa Lomalisa jamaa akikabwa Mpira unaenda Kwa Diarra Tena Kisha Kwa Nondo, Job Kwa Aucho Mpira unatembea mbele Kwa Moloko , Mayele hadi Musonda kufunga ,

Sasa Boli la Simba ufundi zero Manula anaosha shuti kubwa mbele mtajuana wenyewe huko huko!! Mpira ukiwa juu haujatua Chama anamuona Mudathir anajiandaa kuruka Kibabe Kwa Fujo zote mzenji Yuko kazini sura ya mbuzi Chama bishoo wa Dar hataki Fujo Wala kuchafua Jezi , Wala haruki anapisha pembeni asiangukiwe na kivuruge Mudathir basi Mudathir anawin physical battle na kupiga kichwa kumpasia boli Bangala nae anaepeleka boli kwa Djuma Shaaban, soja ya bemba!!

Yanga Huwa wakifanya pressing Ile og ya Cedric Kaze na kuwakabia Simba juu man to man jino Kwa jino Mpira hautembei Simba ni dhaifu wanahaha kama samaki umtoe kwenye maji hadi wanafungwa!

Kisaikolojia Kuna Kitu wanaita phobia! Ukifungwa sana Kila mechi unaingia umejaa upepo unasubiri tu kupigwa kama ngoma!

Kisaikolojia Kitu Wachezaji wa Simba wanachojiuliza kambini mda huu je leo tutafungwa goli ngapi, dakika zipi na nani atatuua na je Aziz Ki atawapiga matobo wachezaji Gani wa Simba Leo na Mudathir atawapiga kanzu nani na nani,

Sasa huko kambini Yanga Wachezaji amsha amsha mganga keshafika Toka Pemba japo Nabi hajui na wachezaji wamezoea ushindi wanasema leo tukiwakosa Simba tuwape droo tu kama vipi!

Yaani Kwa takwimu za matokeo ya michezo kumi ya k'koo Derby tukubali tu kuwa Simba ni underdog wamepigwa mno kama ngoma ila Simba ni sugu kama Dula mbabe!! Kila ukipiga Simba analia , anavuja damu meno yanaenda chini ila Bado tu anakunja ngumi!!

Viongozi wa Yanga wawaambie wachezaji wetu Mashabiki Utopolo Lia Lia tunataka Simba apasuke goli 4 Leo Zote zifungwe kipindi cha kwanza uwezo huo tunao na muda ni sasa.

Mashabiki Utopolo Lia Lia Hatutaki Yanga kuishiwa pumzi second half, hatutaki kushambuliwa second half na hatutaki droo maana tunajua Simba ni Paka tu kwasasa Hana maajabu Leo ni kumchinja mnyama tu, tayari keshaelekea kibla!

Furaha kubwa ya mwanayanga popote pale alipo duniani ni Mayele kuifunga Simba!

Rule of the jungle "Kill" or "You will be killed"!!
 
mpira uchezwe kwa akili na maarifa, sio butua ni butue!!!!

Wachezaji wetu wabadilike, tunataka kuona ufundi mwingi, ukomavo na maarifa ya kutosha.

Sio ilimradi kupachika goli tu..............
Katika derby tano zilizopita lini kulikua na butua butua?
Mpira wa Simba na Yanga umebadirika Sana sahivi soka linachezeka bila Kadi nyekundu wala watu kuandamana mtu akifungwa anakubali mbali ya kua kuna maneno ya kishabiki
 
Bado viwango vyao haviridhishi; ni tofauti kabisa unapo iona Simba au Yanga zinapo cheza na timu zingine haswa timu za kimataifa....huwa wanaonyesha mchezo mzuri zaidi tofauti na zinapo kutana timu hizi 2.

Ndio maana nasema timu zote zibadilike, ziache kukamiana, sio bora nimeingia goli bali tunataka kuona timu imeimarika vizuri kiufundi.....
 
Sikuhizi boli linachezwa zamani ilikua ndo kukamiana mara Kadi kibao ukikaa vibaya nyekundu..
Kiukweli ilikuaga n fujo sahivi n mafundi tu
 
Dabi inayonivutia ni kati ya Boca Jonior na Liver Plate za Ajentina.

Mpira unatembea hasa.

Huku Dabi zetu ni za kujiangusha angusha akina Morrisoni wakishinda na kushikana mashati kwa akina Kibwana

Bado sijaona mpira ukitembea kati ya Simba na Yanga.
 
Ufundi wa Mpira uko Yanga boli linaanzia Kwa Diarra kipa mwenye footwork Bora duniani kwasasa boli anampa Lomalisa jamaa akikabwa Mpira unaenda Kwa Diarra Tena Kisha Kwa Nondo, Job Kwa Aucho Mpira unatembea mbele Kwa Moloko , Mayele hadi Musonda kufunga ,

Sasa Boli la Simba ufundi zero Manula anaosha shuti kubwa mbele mtajuana wenyewe huko huko!! Mpira ukiwa juu haujatua Chama anamuona Mudathir anajiandaa kuruka Kibabe Kwa Fujo zote mzenji Yuko kazini sura ya mbuzi Chama bishoo wa Dar hataki Fujo Wala kuchafua Jezi , Wala haruki anapisha pembeni asiangukiwe na kivuruge Mudathir basi Mudathir anawin physical battle na kupiga kichwa kumpasia boli Bangala nae anaepeleka boli kwa Djuma Shaaban, soja ya bemba!!

Yanga Huwa wakifanya pressing Ile og ya Cedric Kaze na kuwakabia Simba juu man to man jino Kwa jino Mpira hautembei Simba ni dhaifu wanahaha kama samaki umtoe kwenye maji hadi wanafungwa!

Kisaikolojia Kuna Kitu wanaita phobia! Ukifungwa sana Kila mechi unaingia umejaa upepo unasubiri tu kupigwa kama ngoma!

Kisaikolojia Kitu Wachezaji wa Simba wanachojiuliza kambini mda huu je leo tutafungwa goli ngapi, dakika zipi na nani atatuua na je Aziz Ki atawapiga matobo wachezaji Gani wa Simba Leo na Mudathir atawapiga kanzu nani na nani,

Sasa huko kambini Yanga Wachezaji amsha amsha mganga keshafika japo Nabi hajui na wachezaji wamezoea ushindi wanasema leo tukiwakosa Simba tuwape droo tu kama vipi!

Yaani Kwa takwimu za matokeo ya michezo kumi ya k'koo Derby tukubali tu kuwa Simba ni underdog wamepigwa mno kama ngoma ila Simba ni sugu kama Dula mbabe!! Kila ukipiga Simba analia , anavuja damu meno yanaenda chini ila Bado tu anakunja ngumi!!

Viongozi wa Yanga wawaambie wachezaji wetu Mashabiki Utopolo Lia Lia tunataka Simba apasuke goli 4 Leo Zote zifungwe kipindi cha kwanza uwezo huo tunao na muda ni sasa.

Mashabiki Utopolo Lia Lia Hatutaki Yanga kuishiwa pumzi second half, hatutaki kushambuliwa second half na hatutaki droo maana tunajua Simba ni Paka tu kwasasa Hana maajabu Leo ni kumchinja mnyama tu, tayari keshaelekea kibla! Rule of the jungle "Kill" or "You will be killed"!!
Mwanangu nipo hapa liquid uje upitie bucket yako ya badwaiza leo hawa wapuuz tunawakaanga
 
Sikuhizi boli linachezwa zamani ilikua ndo kukamiana mara Kadi kibao ukikaa vibaya nyekundu..
Kiukweli ilikuaga n fujo sahivi n mafundi tu
Hicho ndicho tunacho kitarajia, mpira mzuri ukiambatana na magoli matamu.

Naahidi kutoa laki 1 kwa kila goli litakalo fungwa na Simba. Laki 1 kwa mfungaji.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
Mi sina cha kuahidi bahati mbaya manzi yangu ni Simba Ila Mimi ni Ile timu itakayomnyima furaha... [emoji169][emoji172]
Kama mkitufunga ntalipiza usiku
 
Utatufungia goal ngapi ndugu mwananchi 😁
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
Mi sina cha kuahidi bahati mbaya manzi yangu ni Simba Ila Mimi ni Ile timu itakayomnyima furaha... [emoji169][emoji172]
Kama mkitufunga ntalipiza usiku
Hata tukiwafunga we mkande mabao mengi tu
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
Mi sina cha kuahidi bahati mbaya manzi yangu ni Simba Ila Mimi ni Ile timu itakayomnyima furaha... [emoji169][emoji172]
Kama mkitufunga ntalipiza usiku
[emoji1787][emoji1787]
Mzee unao uwezo wa kulipiza bao 5 !!!
 
[emoji1787][emoji1787]
Mzee unao uwezo wa kulipiza bao 5 !!!
Tano napiga fresh bado mi kijana mdogo tu sema yeye ndo hawezi himili...
Lakini mnaweza kutufunga tano [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom