Mbwembwe zote za Diamond na Number one ...kumbe hakuna kitu!!

nyie mnabishana na mtu aliyeweka thread mwezi wa tisa mwaka jana?wakati ndo nyimbo inaanza kutoka..ajiulize saiv imefikia wapi?na imepokelewa vipi...acheni nae..aliisikilizia kwenye kamkulima chache cha urithi....diamond anajitahidi sanaaa....nimependa swag ya huu wimbo wake mpya...wanajitahidi hawa wasanii wetu jamanii.wasibweteke wakazo buti...
 
Ngololoo ngololo ndio habari ya mjini sio kila nyimbo lazima iwe nzuri banaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…