...Mkuu Heaven, Unisamehe.
Kwa nini Unapenda sana kutumia neno Chuki?
Kwa nini mtu akiwa na mawazo tofauti na wewe katika issue fulani ni Chuki?
Umekulia katika Mazingira ya Chuki chuki??
Kwani wewe Ukisema 'No 1' ni Nzuri na Mwingine akasema si Nzuri tatizo ni Nini?
Kwani nini kila anayesema wimbo sio mzuri ni lazima iwe ni Chuki dhidi ya Diamond?
Kwa nini Usiheshimu tu Sikio lake kwamba halikuusikia kuwa Wimbo ni Mzuri na ana HAKI ya kusema hivyo??
Kama wewe/Diamond mnafurahi watu wanaposema 'Mawazo' ni Bonge la Wimbo, kwa nini uteme Cheche pale baadhi ya wapenzi wenu hao hao wanaposenma 'No 1' sio Mzuri kihiivyo??
Ina maana Mashabiki wenu wana HAKI ya kusifu tu nyimbo zenu lakini hawana haki ya kuchagua kuzipenda ama la??
Unapotumia kigezo cha walioingia Youtube la Ushahidi wa jinsi wimbo huo Ulivyobamba, vipi kuhusu wale malaki ya wapenzi wa Diamond ambao hawajui ya Youtube ni kitu gani???
Ni jambo jema kumtetea Diamond pale inapobidi lakini ni jambo jema zaidi kuacha kugombana na wale wapenzi wanaomkosoa pale inapobidi!
Lakini pengine jambo kubwa Zaidi: Kama Una mashabiki 500 ambao wame-like 'No 1' kwenye Youtube na ukachukulia kama huo ni Ushahidi wa Wimbo huo kupendwa, kwa nini unahangaika na kutoka jasho kupigishana kelele na hawa wachache unaowaona ni haters?
Je huoni kwamba inaleta picha kuwa there must be some Truth in what they are saying after all, Mkuu??:
Leave Them Be.
The Beauty of a Song is in the EARS of the Listener, Mkuu! Dont You think So?
🙂