Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,059
- 1,572
wabongo bhana.! Stop hating..
Dogo anajitahidi sana, tunapaswa tuwapongeze hawa vijana wanaojitahidi kutengeneza video bora kama hizi....
From my heart hongera sana AY..
hongera sana Platinumz..
Onyesheni njia as always
Umekurupuka kuchangia uzi huu,umeambiwa video ni nzuri but Audio dogo kaharibu,mmekomaa kusema ni CHUKI!
Hivi kuzungumza ukweli ni Chuki?
Huu wimbo ukikamata chati za juu nchini ni ndoto labda asambaze mlungula bhaaaaaasi.