Mbweni: Chadema yamsimamisha mtoto wa Katibu wa CCM wa mtaa huo anayeishi kwa baba yake kugombea uenyekiti serikali ya mtaa

Hill LA kwao, cha msingi wamepewa fomu Na mtendaji hajakimbia ofisi...
 
[emoji3][emoji3][emoji3]no koment
 
Mkuu umeongea kwa hasira sana
 
Hahahaaa..... Wagombea wa Chadema bhana!

Nina hakika mgombea wetu atapita bila kupingwa.....usiniulize kivipi!
Wala sibishi atapita kwa sababu tume na polisi mnamiliki nyie CCM badala ya kumilikiwa na serikali, ..bila msaada wa watendaji, polisi, na tume fake ccm msingekuwa na mshindi kabisa kwenye chaguzi zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…