Kuna mada humu iliwahi kuletwa kuhusu mbwiga wa Clouds FM kushindwa kusoma, jana imethibitika kashindwa kusoma magazeti kwenye kipindi cha Power Breakfast akasingizia macho hayaoni.
Mimi naweka dau la laki tano akiweza kusoma ukurasa mmoja wa kitabu cha Juma na Rosa.
Seriously?? Mzoa makopo mstaafu wa chamazi unamzimikia? What so special about him? Bila shaka we ni mndengereko,------ na ushuzi wa aina hiyo cc Matola
haya ni maisha, na jamaa mwenyewe sio kwamba amebisha ila ni hali ya maisha tuuu, kwani we unajua amepitia nini mpaka amefika pale?
ishu sio kumzomea, kwa nini usimtafute na
Mbona unakua na uhasidi wa nyoka? unadhani kumfedhehesha yeye kutakufanya wewe utoke? haya na wewe una Phd?
ebu kua mstarabu hajui kusoma lakini yake yanamuendea.......
wewe unayejua kusoma umeisaidia nini nchi hii! mbwiga kwa kipindi kifupi amejizolea mashabiki kibao kwa ucheshi wake.sisi tunamkubali hatuhitaji awe na phd au masters vile alivyo ndivyo tunataka.
Seriously?? Mzoa makopo mstaafu wa chamazi unamzimikia? What so special about him? Bila shaka we ni mndengereko,------ na ushuzi wa aina hiyo cc Matola