Mbwiga wa clouds FM hajui kusoma

Mbwiga wa clouds FM hajui kusoma

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Kuna mada humu iliwahi kuletwa kuhusu mbwiga wa Clouds FM kushindwa kusoma, jana imethibitika kashindwa kusoma magazeti kwenye kipindi cha Power Breakfast akasingizia macho hayaoni.

Mimi naweka dau la laki tano akiweza kusoma ukurasa mmoja wa kitabu cha Juma na Rosa.
 
mmmh ina maana hata ile msingi hajaipitia.
 
haya ni maisha, na jamaa mwenyewe sio kwamba amebisha ila ni hali ya maisha tuuu, kwani we unajua amepitia nini mpaka amefika pale?
ishu sio kumzomea, kwa nini usimtafute na
 
Hamna hamna ndio paliwapo,leteni figisu zenu yeye anaendelea kupata umate umate chezea mkora wa nyani kibwaya mkia??
 
Mbona unakua na uhasidi wa nyoka? unadhani kumfedhehesha yeye kutakufanya wewe utoke? haya na wewe una Phd?
ebu kua mstarabu hajui kusoma lakini yake yanamuendea.......
 
wewe unayejua kusoma umeisaidia nini nchi hii! mbwiga kwa kipindi kifupi amejizolea mashabiki kibao kwa ucheshi wake.sisi tunamkubali hatuhitaji awe na phd au masters vile alivyo ndivyo tunataka.
 
wangapi wamesoma na hawajafanza chochote cha maana muache bwiga wa watu
 
Shida unaweza kusoma ukawa popompo wa maisha tuu.Unakesha bar tuu toka sakafu ya moyo wanaomponda ni haters tuu.
 
Mbwigaaa...
Ana matatizo ya macho Gerald kamshauri aende hospital
 
Aiseee! Sitegemei kuna chombo cha habari kinaweza kuwa na mtu asiye jua kusoma!
 
Back
Top Bottom