Mbwiga wa Mbwiguke aombe msaada wa kuandikiwa kwenye mitandao ya kijamii

Mbwiga wa Mbwiguke aombe msaada wa kuandikiwa kwenye mitandao ya kijamii

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Mbwiga wa Mbwiguke mdomo mwingi lakini uwezo wake wa kuandika upo chini sana. Yeye kama mtu maarufu, inabidi atafute mtu wa kumuandikia huko mitandaoni.
IMG_8070.jpeg
IMG_8071.jpeg
 
Dah kuna watu wanavyoandika haviendani na title yao , ila kila nikitaka kusema nakumbuka huwezi jua ametokea wapi amepigana vipi kufika hapo alipo inabidi utulie. Sawa kipindi hicho kulikuwa na shule chache lakini ...au basi

Twendeni tu na hii " hunajuwa kwetu tunarara kibalazani"
 
Mimi sijui kusakata rhumba, sasa ili kukomesha hua nikienda band sinyenyukagi kavisaaaaa zaidi ya kusikiliza....🤣
Kwahiyo hapo nakua najitunzia heshma yangu kidogo..😊
Na kwanini mtu usijue kusakata rhumba wakati jirani yako nipo na najua? Gonga geti uje mazoezi.

Halafu jirani punguza ulevi, ona ulivoandika.

Anyways, mwabieni mbwiga si razima kuhandika handika mtandahoni.
 
Back
Top Bottom