Mbwiga wa Mbwiguke aombe msaada wa kuandikiwa kwenye mitandao ya kijamii

Dah kuna watu wanavyoandika haviendani na title yao , ila kila nikitaka kusema nakumbuka huwezi jua ametokea wapi amepigana vipi kufika hapo alipo inabidi utulie. Sawa kipindi hicho kulikuwa na shule chache lakini ...au basi

Twendeni tu na hii " hunajuwa kwetu tunarara kibalazani"
 
Mimi sijui kusakata rhumba, sasa ili kukomesha hua nikienda band sinyenyukagi kavisaaaaa zaidi ya kusikiliza....🀣
Kwahiyo hapo nakua najitunzia heshma yangu kidogo..😊
Na kwanini mtu usijue kusakata rhumba wakati jirani yako nipo na najua? Gonga geti uje mazoezi.

Halafu jirani punguza ulevi, ona ulivoandika.

Anyways, mwabieni mbwiga si razima kuhandika handika mtandahoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…