Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Haiwezekani Yanga leo isishinde. Haiwezekani. Yanga leo inashinda si chini ya bao 2. Yaani ushindi upo na ni lazima. Yanga imejipanga kwa hali na mali na kwa kila kitu.
Leo tunashinda. Ubao umetusoma vizuri na wazee wamebariki. Hatoki mtu hapa kwa Mkapa. Nipigwe ban na viboko 14 hadharani nikiwa na mjegeko upo nje wazi wazi kabisa. Na video ichukuliwe.
Isiposhinda Yanga nipewe adhabu hiyo.
YANGA BINGWA.