Habari wadau.
Kwa wapenzi wa wedding industry jina la MC Katokisha sio geni. ni Mc mmojawapo wa class ya juu anaechaji hela nyingi kwenye soko la harusi. Pia MC Katokisha ni msomi mwenye CPA, na degree za kutosha za chuo kikuu cha Dar es salaam na experience ya kutosha ya big four firm, Ernst and Young kampuni ya kimataifa iliyogundua ufisadi wa EPA BOT ndio mwajiri wa MC Katokisha.
MC Katokisha ametangaza kufunga ndoa na mchumba wake, mama wa watoto wake wawili. mdada mrembo mzuri. na harusi hiyo inategemewa kufungwa mwezi huu.
Wadau wengi wameleta hoja why vijana waliojipata hawafungi ndoa mpaka wazalishe kwanza?
Wakatoa na mifano MC Garab wakati anafunga ndoa alikuwa ameshamzalisha mkewe pia, wakajiuliza sasa dada zetu walokole mabinti Sayuni ambao hawataki kuzaa kabla ya ndoa, wataolewaje na vijana waliojipata kimaisha? Kama hao vijana hawaoi mpaka wazalishe kwanza?