Mc Mavunde amesomea hii kazi?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Nashangaa sana,tena nashangaaa sana,kila shughuli ya serikali huyu mzee ndio anakuwa Mc,hivi mikoani hakuna watu wa kufanya hizi kazi mpaka awe anasafirishwa na serikali?

Au ameajiliwa na serikali kwa shughuli hii? Maana mimi binafsi naona ni matumizi mabaya ya pesa za umma.
 
Shughuli maalum za kiserikali si vigodoro ambalo yeyote anaweza okotwa ndg...
 
Acha roho mbaya muache mzee ale mashavu, kwakua ana kitu cha ziada maana hawajaona Mc mwingine zaidi ya Nguli huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…