Mc Mavunde amesomea hii kazi?

Mc Mavunde amesomea hii kazi?

Nashangaa sana,tena nashangaaa sana,kila shughuli ya serikali huyu mzee ndio anakuwa Mc,hivi mikoani hakuna watu wa kufanya hizi kazi mpaka awe anasafirishwa na serikali?

Au ameajiliwa na serikali kwa shughuli hii? Maana mimi binafsi naona ni matumizi mabaya ya pesa za umma.
Acha wivu kenge wewe.
 
Sasa hivi wanakuwa makini sana kupata Watu makini, yasije kutokea kupigana mitama mbele ya Viongozi wa heshima.
 
Hili lizee uccm mwingi sana.
But nalikubali kwenye kwaya yuko vizuri
 
Nashangaa sana,tena nashangaaa sana,kila shughuli ya serikali huyu mzee ndio anakuwa Mc,hivi mikoani hakuna watu wa kufanya hizi kazi mpaka awe anasafirishwa na serikali?

Au ameajiliwa na serikali kwa shughuli hii? Maana mimi binafsi naona ni matumizi mabaya ya pesa za umma.

Kwa taarifa yako Mc wengi, hasa wanaohost shughuli nyeti na ambao wanakazi nyingine ni wanavitengo, usiniulize vitengo gani!
Mtafute mc mmoja anayeanza na jina R umuulize!
 
Nashangaa sana,tena nashangaaa sana,kila shughuli ya serikali huyu mzee ndio anakuwa Mc,hivi mikoani hakuna watu wa kufanya hizi kazi mpaka awe anasafirishwa na serikali?

Au ameajiliwa na serikali kwa shughuli hii? Maana mimi binafsi naona ni matumizi mabaya ya pesa za umma.
Ana kashfa moja mbaya sana akiwa Meya wa Manispaa ya DODOMA alidaiwa kutoka na mwanaye wa kumzaa mwenye jina P.
 
Nashangaa sana,tena nashangaaa sana,kila shughuli ya serikali huyu mzee ndio anakuwa Mc,hivi mikoani hakuna watu wa kufanya hizi kazi mpaka awe anasafirishwa na serikali?

Au ameajiliwa na serikali kwa shughuli hii? Maana mimi binafsi naona ni matumizi mabaya ya pesa za umma.
Kwanza hakusomea hiyo kazi. Hana taaluma nayo. Hayo ni moja ya madudu ya Magufuli. Ni upendeleo wa wazi kwa Naibu Waziri Mavunde. Huyu ni Baba yake.
 
sasa mkuu nakushangaa sana kwanza jua huyo ni mfanyakazi wa serikali ww unajuaje kama hana taaluma nayo

kingine unavyosema kua hela za safari mara blabla mbona mawaziri wakisafiri au watumishi wengine wakisafiri kwenda mikoani kwenye majukumu ya kikazi husemi kama wanatumia hela za umma vibaya

yule ni mfanyakazi wa serikali ile ndo kazi yake kama watumishi wengine mameya mawaziri na watumishi wengine wote hela za safari wanazotumia ni za ofisi na ni lazima apewe hata dereva wa serikali analipwa kila safari

sasa mwenzetu kinachokuuma ni nn yeye kutekeleza majukumu yake ya kikazi af kua MC ni kama vile kua mkuu wa mkoa hawawezi kua wakuu wamikoa wawili kwenye mkoa mmoja tayari yule ni MC wa serikali na yupo ingekua hayupo nafasi yake ingechukuliwa na mwingine

kama juzi wakati mkuu anapewa cheti cha ushindi mbona hakuwa yeye ndo MC alikua mtangazaji wa TBC ilihali tukio lilifanyikia Dodoma mkoa alipo MC Mavunde

#punguzaHojaMgando
 
Kwanza hakusomea hiyo kazi. Hana taaluma nayo. Hayo ni moja ya madudu ya Magufuli. Ni upendeleo wa wazi kwa Naibu Waziri Mavunde. Huyu ni Baba yake.
angetunukiwa mzaz wako nafasi hiyo usingeyasema hayo

ni wivu tu
 
Back
Top Bottom