MC Pilipili afungua Kanisa

MC Pilipili afungua Kanisa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mshereheshaji wa Harusi na mtia nia ya ubunge kwenye uchaguzi wa 2020 kupitia CCM, MC Pilipili amezindua kanisa linaloitwa LOVE CHURCH.

Uzinduzi huo Kabambe umefanyika kwenye hotel ya Kebby's Iliyoko Sinza, DSM, na kuhudhuriwa na waimbaji kadhaa wa nyimbo za injili, huku watu wakiombewa na kufunguliwa.

Chanzo: Global Publishers

Mc_maarufu_hapa_nchini%2CMc_Pilipili_pamoja_na_Mkewe_philomena%2Cjuzi_walizundua_kanisa_lao_li...jpg
 
View attachment 2095044

Mshereheshaji wa Harusi na mtia nia ya ubunge kwenye uchaguzi wa 2020 kupitia ccm , MC Pilipili amezindua kanisa linaloitwa LOVE CHURCH

Uzinduzi huo Kabambe umefanyika kwenye hotel ya Kebby's Iliyoko Sinza , DSM , na kuhudhuriwa na waimbaji kadhaa wa nyimbo za injili , huku watu wakiombewa na kufunguliwa .

Chanzo : Global Publishers
Sasa hivi atajiita nabii na mtume kisha askofu
 
Back
Top Bottom