MC Pilipili afungua Kanisa

MC Pilipili afungua Kanisa

Mshereheshaji wa Harusi na mtia nia ya ubunge kwenye uchaguzi wa 2020 kupitia ccm , MC Pilipili amezindua kanisa linaloitwa LOVE CHURCH.

Uzinduzi huo Kabambe umefanyika kwenye hotel ya Kebby's Iliyoko Sinza , DSM , na kuhudhuriwa na waimbaji kadhaa wa nyimbo za injili , huku watu wakiombewa na kufunguliwa.

Chanzo : Global Publishers

Vijana tujiajiri ujasiriamali wa sadaka unalipa sana.
Ngoja nikamtafute ugulu chukuru nasi tuanzishe letu.
 
Mshereheshaji wa Harusi na mtia nia ya ubunge kwenye uchaguzi wa 2020 kupitia ccm , MC Pilipili amezindua kanisa linaloitwa LOVE CHURCH.

Uzinduzi huo Kabambe umefanyika kwenye hotel ya Kebby's Iliyoko Sinza , DSM , na kuhudhuriwa na waimbaji kadhaa wa nyimbo za injili , huku watu wakiombewa na kufunguliwa.

Chanzo : Global Publishers

Watu wakiombewa na kufunguliwa nini?
 
Hivi Hawa wafuasi wa watu Kama hawa huwa Wana akili kweli?!!! Bado kizazi cha kipumbavu kipo sana kwenye jamii zetu.

Vilevile naona kuna haja ya utaratibu wa kuanzishwa makanisa kuwekwa vizuri sio Kama ulivyosasa, yaani ovyoovyo tu.
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Sijui ni uhuru kuzidi
20220126_071500.jpg
 
Back
Top Bottom