Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Sasa hivi atajiita nabii na mtume kisha askofuView attachment 2095044
Mshereheshaji wa Harusi na mtia nia ya ubunge kwenye uchaguzi wa 2020 kupitia ccm , MC Pilipili amezindua kanisa linaloitwa LOVE CHURCH
Uzinduzi huo Kabambe umefanyika kwenye hotel ya Kebby's Iliyoko Sinza , DSM , na kuhudhuriwa na waimbaji kadhaa wa nyimbo za injili , huku watu wakiombewa na kufunguliwa .
Chanzo : Global Publishers
Wauza ngada hao. Kufanikiwa kupitia waumini ni % ndogo sana. Hao wanakuwa na illicit trade, money laundering, n.k hapo ni amefungua kijiwe cha kuzugiaTAZAMA....!
Anakwenda kutimiza ndoto zake kupitia wapumbafu wachache watakajitokeza kuwa muumini wake
Na bado wapo wanaoenda kwa shillah..Naogopa sana kusema imani za watu. Ila kuna wapumbavu na wajinga wanasali kwa Masanja na wataenda na kwa pilipili. Ujinga ni mzigo sana. Acha nibaki na dini na imani yangu.
Atazuga kulima mchele kwanzasoon ataanza push X6
Hahahaha noma sanaAtazuga kulima mchele kwanza
Nada unalipa..
Tena jembe Lao lipo ardhi