wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Hii yote kumwiga masanjaMshereheshaji wa Harusi na mtia nia ya ubunge kwenye uchaguzi wa 2020 kupitia CCM, MC Pilipili amezindua kanisa linaloitwa LOVE CHURCH.
Uzinduzi huo Kabambe umefanyika kwenye hotel ya Kebby's Iliyoko Sinza, DSM, na kuhudhuriwa na waimbaji kadhaa wa nyimbo za injili, huku watu wakiombewa na kufunguliwa.
Chanzo: Global Publishers
Bado kidogo joti nae atafungua