Hii yote kumwiga masanjaMshereheshaji wa Harusi na mtia nia ya ubunge kwenye uchaguzi wa 2020 kupitia CCM, MC Pilipili amezindua kanisa linaloitwa LOVE CHURCH.
Uzinduzi huo Kabambe umefanyika kwenye hotel ya Kebby's Iliyoko Sinza, DSM, na kuhudhuriwa na waimbaji kadhaa wa nyimbo za injili, huku watu wakiombewa na kufunguliwa.
Chanzo: Global Publishers
Usipanic tunajadiliana kwa amani tu na kwa si kwa nia ya kubomoa.Hao uliowataja wapo vizuri sana kuliko hata huo uislam wako tatizo unakremisha tuuπππ
Bora nirudi kuabudu mibuyu na kulala makaburini kuliko kusilimu..Rubish takataka kabisa ,hivi unajuwa hakuna watu wenye kuhoj ktk din km waislamu ,infact Allah almight alishatoa challenge kweny Qur'an kwa majin na wanadamu walete kasoro Kama wakiweza so hata wewe kama unaweza kuchallenge karibu ,ila waliojaribu wote waliishia kusilimu
Usifananishe uislamu na mambo ya ajabu bwana Choko dariHao uliowataja wapo vizuri sana kuliko hata huo uislam wako tatizo unakremisha tuu[emoji849][emoji849][emoji849]
ChokoUsifananishe uislamu na mambo ya ajabu bwana Choko dari
Hilo swali hata mie niliuliza sijapata jibuHebu tueleze utapeli wake na sisi tuujue
Mbona unaenda mbali sana, hayo anayajua yeye na aliyemuita amtumikie, mke wa mfalme Daudi alimdhihaki Daudi alipata laana, pia dada yake Moses alimsema kaka yake Mungu akampa adhabu ya maishaIsije ikawa alimtoa mama yake kafara ili atimize lengo lake
ππππUsifananishe uislamu na mambo ya ajabu bwana Choko dari
Uislamu huu huu wa kubusu jiwe jeusi maka??!!πππ€£π€£πππUsifananishe uislamu na mambo ya ajabu bwana Choko dari
Sawa ChokoUislamu huu huu wa kubusu jiwe jeusi maka??!![emoji849][emoji849][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Nadhani tusikuhukumu Sana hizi dini sisi Kama waafrika maana hata uislamu Africa umeletwa na waarabu enzi za utumwa! Kwaio cha msingi tuheshimiane kila mtu na alichobahatika kurithi toka kwa wajaji (waarabu na wazungu).binafsi nikianza kuifikiria Roma empire na pale Vatican namna ukristo ulivyotoka mashariki ya kati na kufika Ulaya... Uhusiano wa Vatican miaka hiyo na wahuni wa Sicily aka Mafia mob.
Nikifikiria tena namna ukristo ulivyotumika kuwatawala waAfrica enzi za ukoloni, maana tulifundishwa moja ya tool iliyotumika kutuwala ilikuwa ni dini na wamisionary walikuwa agent wa wakoloni..
Amri za Kanisa hasa ile inayowataka watumishi wasioe wala kuolewa...
kingine ni mkanganyiko kwenye bible na ukihoji sana unaambiwa kuyaelewa hayo maandiko lazima uwe genius.. kwanini yaandikwe mafumbo au kufichwafichwa wakati ni dini na kila mtu anapaswa kuielewa clearly ili aifuate na kuabudu..?
Israel kujiita Taifa teule kwa kisingizio cha kuandikwa kwenye bible wakati bible yenyewe chimbuko lake ni hapo Israel, Kudhulumu ardhi ya watu kwa kisingizio ni nchi yao ya ahadi reference ni bible...ina maana hata wale Waaustralia kule waseme lile bara ni nchi yao ya ahadi wakati ilikuwa jela ya waingereza ndio vile tu ile ardhi ilikuwa haina mwenyewe...
Wenyeji wayahudi wengi wao sio christian na christian pale ni wachache sana, yaani hata ni muslim ni wengi pale kuliko Christians, inawezekanaje sasa, penye chimbuko la dini wenye dini ni wachache?
Watu wa Dini hua hamueleweki mnasimamia Nini,hapo hapo utakuja nipa hekaya za Yesu alikuja kukomboa kondoo waliopotea Tena ukibwagiza Mungu hua anaokoa mmoja aliyepotea na kumfanya alejee kwake hapo hapo Tena unanambia Mungu hajiahangaishi na mtu mmoja kama Mimi ambaye simuamini,Dunia ina watu bil 7, na toka binadamu wa kwanza wamekufa mabilion ya watu, kwahiyo Mungu hawezi kuhangaika na wewe ambaye huna umaarufu Wala madhara yoyote kwenye huu ulimwemgu eti aje yeye mwenyewe kukwambia kuwa yupo ndo utaamini. Hata Hitler pamoja na kutikisa dunia hii Mungu hakuja kumwambia acha kwa sababu Mungu ameshaweka limit hakuna wa kumshinda utaishia kuoza tuu.
Watu wa Dini hua hamueleweki mnasimamia Nini,hapo hapo utakuja nipa hekaya za Yesu alikuja kukomboa kondoo waliopotea Tena ukibwagiza Mungu hua anaokoa mmoja aliyepotea na kumfanya alejee kwake hapo hapo Tena unanambia Mungu hajiahangaishi na mtu mmoja kama Mimi ambaye simuamini,Dunia ina watu bil 7, na toka binadamu wa kwanza wamekufa mabilion ya watu, kwahiyo Mungu hawezi kuhangaika na wewe ambaye huna umaarufu Wala madhara yoyote kwenye huu ulimwemgu eti aje yeye mwenyewe kukwambia kuwa yupo ndo utaamini. Hata Hitler pamoja na kutikisa dunia hii Mungu hakuja kumwambia acha kwa sababu Mungu ameshaweka limit hakuna wa kumshinda utaishia kuoza tuu.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Mjini ukatili tu.