MC Pilipili afungua Kanisa

Vijana tujiajiri ujasiriamali wa sadaka unalipa sana.
Ngoja nikamtafute ugulu chukuru nasi tuanzishe letu.
 
Watu wakiombewa na kufunguliwa nini?
 
Hivi Hawa wafuasi wa watu Kama hawa huwa Wana akili kweli?!!! Bado kizazi cha kipumbavu kipo sana kwenye jamii zetu.

Vilevile naona kuna haja ya utaratibu wa kuanzishwa makanisa kuwekwa vizuri sio Kama ulivyosasa, yaani ovyoovyo tu.
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…