MC Pilipili afungua Kanisa

MC Pilipili afungua Kanisa

Sasa kwa nini ukawa Atheist badala ya kujaribu Uislamu?

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Uislam na ukristo zote ni Abrahamic religion,zote zimebase kwenye mapokeo ya kiyahudi na Israelites ambao na wao walicopy kwenye tablets za Accient civilization za kale kama Sumerians, Assyrian, Babylon na Egyptian
Hawana utofauti wowote!
 
Dua ipi mdau iliwahi kukubaliwa... kuomba mvua mwezi Disemba?
Dua niombe mimi wewe ndo uone kama imekubaliwa au imekataliwa? Mambo ya imani sio vitu vya showoff wanaoamini ndo wanaona inavyofanya kazi.......wewe baki na unachokiamini pia
 
Sasa kwa nini wasihamie kwenye Uislamu ambako kuna logic zaidi? Maana nachoona ni kinyume chake, Watu wengi hasa wanawake wanatoka kwenye Uislamu na kwenda kwenye Ukristo...Mkristo akienda kwenye uislamu basi utakuta kaolewa na bwana tajiri (kafuata hela)

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Uislamu una logic zipi mdau?... za kubanwa na kaburi, kung'atwa na joka kubwa kaburini. Za kuwa na mademu 72 peponi....
 
Dua niombe mimi wewe ndo uone kama imekubaliwa au imekataliwa? Mambo ya imani sio vitu vya showoff wanaoamini ndo wanaona inavyofanya kazi.......wewe baki na unachokiamini pia
Ndio utuambie hapa ulichokipata pengine wengine tumekipata bila ya kuomba chochote. Nini wwe unapata wasiomba hawapati?
 
Tutofautishe Biblia na mafundisho ya makanisa.

Yesu ni nani?

Mathayo 16:16
Mathayo 24:36
Yohana 14:28
Yohana 20:17

Mafundisho ya makanisa yanapotosha ukweli kumhusu Mungu na hivyo kuwafanya watu wafikiri hayo ni mafundisho ya Biblia. Kisha wanaacha kumwamini Mungu.
 
Nilishangaa sana
Nikahitimisha pengine ndio sababu

Hivi kweli yule MC maarufu na yeye ana miliki kondoo sasa hivi?

Na yeye anaombea watu??

Ndio maana watu wana badili gia angani

🤔😷🙅🏽🙅🏽
Hata kwenye uislamu etheists wapo ila uislamu ni dini ya kimabavu. Ukideclare wewe etheists kama uko uarabuni au pakistani hakika utauliwa. Huku kwetu watakutenga utabaki unachukiwa na jamaa zako.
Ukristo tolerance na imani zingine ni kiwango kikubwa.
 
Hata uislam nao ni uongo mtupu eti mungu anajua kiarabu tuu. Dini imekaa kiarabu kiarabu yaani tamaduni zote za kiarabu ndo uislamu. Sasa hapo kuna nini.
Sio ukwel wapi pamesemwa kweny Qur'an mungu anakuwa kiarabu tu ,umezungumza kimuhemko tu ,uislam haujachukua tamadun yyte toka ktk uarabu ila lugha tu ,Kama unaushaid nukuu Qur'an hapa
 
Kwasababu wanauwezo wa ku question sio mazuzu wala mazoba..free will na upendo ndio misingi ya ukristo.

Kule upande wa pili misingi yao ni chuki..unafiki..uzushi siku ukitaka kuquestion imani jiandae kuengwa..kupigwa mawe hadi kfa ama kukatwa kichwa.

#MaendeleoHayanaChama
Rubish takataka kabisa ,hivi unajuwa hakuna watu wenye kuhoj ktk din km waislamu ,infact Allah almight alishatoa challenge kweny Qur'an kwa majin na wanadamu walete kasoro Kama wakiweza so hata wewe kama unaweza kuchallenge karibu ,ila waliojaribu wote waliishia kusilimu
 
Sasa kama mbona atheists wanatokea kwenye Ukristo tu?

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Kitu ambacho ukijui kuna watu wengi ambao ni atheists lakini mbele za watu wanajifanya ni waumini wa imani fulani.... maana kama mtu anaamini kwanin mambo yaliyokatazwa na huyo anayemwamini bado anayatenda? Midomoni ni watu wa dini ila kimatendo ni atheists...
 
Rubish takataka kabisa ,hivi unajuwa hakuna watu wenye kuhoj ktk din km waislamu ,infact Allah almight alishatoa challenge kweny Qur'an kwa majin na wanadamu walete kasoro Kama wakiweza so hata wewe kama unaweza kuchallenge karibu ,ila waliojaribu wote waliishia kusilimu
Wakichalenjiwa huko Taliban wanachinja watu, tushukuru upo nchi huru kwenye haya mambo...
 
Back
Top Bottom