Nilijikuta nikiwa Atheist nikiwa kidato Cha pili tu,hiyo ni baada ya kua deep Sana Kwenye kusoma Bible,
Still bible ni kitabu nachokipenda kina rejea nyingi za kihistoria,
morals and dogma na hua napenda kukisoma tu hasa agano la kale ila tangu nianze kusoma sijaona Muunganiko na huyo Mungu mule zaidi tu ya contradiction, sometimes hekaya ya kufurahisha genge
Za Waisrael,
Nje ya hapo nisiwe mwongo Mimi ni pure Atheist na hakuna mfia Dini atanibadilisha Wala kuniaminisha kitu nikamwelewa Labda huyo Mungu mnaedai yupo aje mwenyewe au atume mjumbe wa maana Sana Ndio nitamuelewa bila Hivyo atakua ni hekaya kama kama hekaya nyingine na hajawahi exist popote!