Mungu amponyeeIla ile ya kuwaponda watu wanaosoma veta inabidi atubu
Even a black folk hate to see another nigga made it..
Kwa mujibu wa mpiga picha wake anaejulikana kwa jina la...Mchekeshaji, Mc Pilipili amepata ajali katikati ya kijiji cha Nyasamba na Bubiki mkoani Shinyanga.
Kwa mujibu wa mpiga picha wake aliyejulikana kwa jina la ameithibitishia Mchekeshaji huyo kupata ajali, chanzo cha ajali hiyo ni dereva alikuwa anamkwepa mtoto aliyekuwa anaeendesha baisikeli, Mc Pilipili amekimbizwa jijini Mwanza kwa matibabu zaidi.
View attachment 586898
Chanzo: Clouds Media
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Ndiyo!!! Lazma kabisa! Hata mtu akikutwa annazama kwenye maji anaulizwa kwanza yupo chama gani!! Usijekuta umesaidia adui!
Oh oo oo!!![emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]Ndo tulikofika
Kwani huwa anapost vitu gani unavyohisi vinamponza?Huyu kijana pole yake sana kwa kweli.sometimes wapunguze vya kupost post inst.vinawaponza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kumbe unayajua ee yani ni takataka kabisa yale sijui kwanini watu bado wanayanunuaKuna watu wana moyo duh..... Hilo Prado la zamani bado kuna watu wanafanya nayo safari ndefu???
Toyota Prado, 'The Most Dangerous Vehicle' Seen
Hizi gari ni mbovu kwa mtu mwenye akili huwezi fanya nayo safari ndefu labla uwe speed ya 40....
duh!!ALIENDA KWA MGANGA? POLE YAKE
hawana elimu ya magari au hawafanyi tafiti yakinifu, hizo gari ni zamani kweri miaka ya 90s.Mkuu kumbe unayajua ee yani ni takataka kabisa yale sijui kwanini watu bado wanayanunua