MC Pilipili apata ajali ya gari akiwa Shinyanga

MC Pilipili apata ajali ya gari akiwa Shinyanga

Mi ni ngumu sana kumkwepa mwenda kwa miguu au mwendesha baiskeli au pikipi au bajaj endapo nitakuwa nahatarisha maisha yangu na huyo mhusika ndio kavunja sheria
bora nimpande itajulikana mbele kwa mbele
Kumkwepa kuna uwezekano mkubwa sana wa mimi kutokuwa hai
 
pole zake Mungu amsaidie

/Akifa shekhe kazi ya Mungu/
/Akifa mlevi sababu ya Pombe/
 
Mchekeshaji, Mc Pilipili amepata ajali katikati ya kijiji cha Nyasamba na Bubiki mkoani Shinyanga.

Kwa mujibu wa mpiga picha wake aliyejulikana kwa jina la ameithibitishia Mchekeshaji huyo kupata ajali, chanzo cha ajali hiyo ni dereva alikuwa anamkwepa mtoto aliyekuwa anaeendesha baisikeli, Mc Pilipili amekimbizwa jijini Mwanza kwa matibabu zaidi.

View attachment 586898

Chanzo: Clouds Media
Kwa mujibu wa mpiga picha wake anaejulikana kwa jina la...
Asante kwa taarifa pole zake mungu ampe wepesi
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom