MC Pilipili apata ajali ya gari akiwa Shinyanga


Mungu awape nafuu ya haraka warudi kwenye shughuli zao
 
Ila lile prado lake stability mbovu sana ukilichezesha kidogo tu linakutupa sijui kwanini alikua analikimbiza
Halafu huwa ni bovu ilo gari lake na dereva wake ni check bob flani hivi ujana mwingi
 
Hizo prado ni mbaya sana na huwa zinaleta ajali sana, ajitahidi anunue prado macho ya panzi 80mil ye ni mtu mkubwa c vizuri kutembelea gari bovu.

All in all Mungu akuponye haraka
 
Kwani alisema nini huko jamani, tujuzeni wengine hata hatujui ati!
Hahaahaa....

Huyu Jamaa si MC...

Huwa anawachana sana wanaume wenye ujuzi wa VETA kwenye shuguli zake..
Yani wanawake hawapaswi olewa na watu wa VETA.....ye anawachukulia wa chini dizain..

Sasa huko VETA wanamsubiri na hilo Prado
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…