MADAM T JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 5,747 Reaction score 2,977 Sep 14, 2017 #61 data said: Hahaahaa.... Huyu Jamaa si MC... Huwa anawachana sana wanaume wenye ujuzi wa VETA kwenye shuguli zake.. Yani wanawake hawapaswi olewa na watu wa VETA.....ye anawachukulia wa chini dizain.. Sasa huko VETA wanamsubiri na hilo Prado . Click to expand... Toba! Kumbe wa hovyo hivi!
data said: Hahaahaa.... Huyu Jamaa si MC... Huwa anawachana sana wanaume wenye ujuzi wa VETA kwenye shuguli zake.. Yani wanawake hawapaswi olewa na watu wa VETA.....ye anawachukulia wa chini dizain.. Sasa huko VETA wanamsubiri na hilo Prado . Click to expand... Toba! Kumbe wa hovyo hivi!
data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,858 Reaction score 23,768 Sep 14, 2017 #62 MADAM T said: Toba! Kumbe wa hovyo hivi! Click to expand... Hahahaa
MAGARI7 JF-Expert Member Joined Mar 5, 2016 Posts 2,401 Reaction score 1,303 Sep 16, 2017 #63 Prince Kunta said: Bugando Click to expand... Ameumia sana?
MAGARI7 JF-Expert Member Joined Mar 5, 2016 Posts 2,401 Reaction score 1,303 Sep 16, 2017 #64 Niliona video moja, akibadili tyre..baada ya kupata pancha. Baadae nikaona akavua fulana na kumpa mtoto aliekua akichunga ng'ombe. Dogo aliirudisha, ila kakamtu akaichukua... Poleni sana
Niliona video moja, akibadili tyre..baada ya kupata pancha. Baadae nikaona akavua fulana na kumpa mtoto aliekua akichunga ng'ombe. Dogo aliirudisha, ila kakamtu akaichukua... Poleni sana
lickodsm Member Joined Oct 22, 2016 Posts 9 Reaction score 10 Sep 16, 2017 #65 XAVIER PETER[XP] said: Mara paap... mtu wa VETA ndio anatengeneza gari yake.. [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Click to expand... Nimeku SOMAAA!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
XAVIER PETER[XP] said: Mara paap... mtu wa VETA ndio anatengeneza gari yake.. [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Click to expand... Nimeku SOMAAA!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Sep 16, 2017 #66 Planett said: Ila ile ya kuwaponda watu wanaosoma veta inabidi atubu Even a black folk hate to see another nigga made it.. Click to expand... Pengine wamemsomea kisomo
Planett said: Ila ile ya kuwaponda watu wanaosoma veta inabidi atubu Even a black folk hate to see another nigga made it.. Click to expand... Pengine wamemsomea kisomo