MC Pilipili apata ajali ya gari akiwa Shinyanga

MC Pilipili apata ajali ya gari akiwa Shinyanga

Hahaahaa....

Huyu Jamaa si MC...

Huwa anawachana sana wanaume wenye ujuzi wa VETA kwenye shuguli zake..
Yani wanawake hawapaswi olewa na watu wa VETA.....ye anawachukulia wa chini dizain..

Sasa huko VETA wanamsubiri na hilo Prado
.
Toba! Kumbe wa hovyo hivi!
 
Niliona video moja, akibadili tyre..baada ya kupata pancha.

Baadae nikaona akavua fulana na kumpa mtoto aliekua akichunga ng'ombe. Dogo aliirudisha, ila kakamtu akaichukua...

Poleni sana
 
Back
Top Bottom