Mchekeshaji na MC maarufu bongo Mc Pilipili asema amepangiwa mahali ya milioni 8 ili kumchumbia mpenzi wake anaetarajia kumuoa hivi karibuni na tayari ameshatoa milioni 5 , Pilipili pia ameongeza kuwa yeye ameokoka hivyo Hadi Sasa tangu aanze mahusiano na binti huyo hajawahi kufanya nae mapenzi japo huwa anaenda kwake kumsaidia kupika na shughuli za nyumbani.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yawezekana kabisa mkuu.Basi nishaelewa alikua analilia nini...
Kumbe siyo furaha ya kumvisha pete mwanamke wake, ni uchungu wa kupigwa mahari ya million 8, katoa million5 bado million3...
Cc: mahondaw
Hajawahi kumgusa na demu hana bikira?
Huu ujinga unapatikana kwa wanaume wa Dar tu.
Kweli yupo vizuriKatoa kweli maana hiyo akifanya uMC wa harusi 4 tu tayari kafikisha hiyo pesa
Jamaa sio mchovu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] kudaaadeki walahi.Ina friji labda ukichoka unafungua unapata maji baridi.
kumbe ajapiga haaa yani anaoa bila kupiga uyu jamaa ana akili kweli uoe bila kupiga wakati wenzie tuna piga na kutia mimba ndo tunaoa sasa.Milioni 8 kwani ina bluetooth au inaimba blues ikiwa inasuguliwa.
hiyo hela angempa mama yake kijijini angeombewa kila dua la heri kuliko kumlipia mtu ambae kuna masela walishabanjuka nae kwa chupa ya togwa tu.
Na hapo katoa milioni 8 lakini hajaionja anasubiri ndoa kwa mujibu wa maelezo yake. Sasa subiri aende huko hiyo siku ya ndoa akute ana ukuni kama wake, nahisi atalia mara mbili ya siku ya kumvalisha pete.
All in all hongera zake.
[emoji106]mahali= mahari
Yaani wewe hufahamu tofauti ya mahali na mahari?
Punguani wahed.
Una uhakika mama yake anaishi kijijini?Milioni 8 kwani ina bluetooth au inaimba blues ikiwa inasuguliwa.