MC Pilipili asema mahari ya mchumba wake ni milioni 8

MC Pilipili asema mahari ya mchumba wake ni milioni 8

Mchekeshaji na MC maarufu bongo Mc Pilipili asema amepangiwa mahali ya milioni 8 ili kumchumbia mpenzi wake anaetarajia kumuoa hivi karibuni na tayari ameshatoa milioni 5 , Pilipili pia ameongeza kuwa yeye ameokoka hivyo Hadi Sasa tangu aanze mahusiano na binti huyo hajawahi kufanya nae mapenzi japo huwa anaenda kwake kumsaidia kupika na shughuli za nyumbani.

Sent using Jamii Forums mobile app
mahali = mahari

Yaani wewe hufahamu tofauti ya mahali na mahari?

Punguani wahed.
 
Ndoa za mitandaoni, mm mahali yangu 1.5mil...na bado hawajapata kitu na kuna kupika na kupakua😀😀😀😀😀😀

yeye anataka tumsaidie kuchangia mahali ama nini?, au hata hizo mahali amepewa na mchumba ili akamilishe zoezi mapema??😛😛
 
Milioni 8 kwani ina bluetooth au inaimba blues ikiwa inasuguliwa.
hiyo hela angempa mama yake kijijini angeombewa kila dua la heri kuliko kumlipia mtu ambae kuna masela walishabanjuka nae kwa chupa ya togwa tu.
Na hapo katoa milioni 8 lakini hajaionja anasubiri ndoa kwa mujibu wa maelezo yake. Sasa subiri aende huko hiyo siku ya ndoa akute ana ukuni kama wake, nahisi atalia mara mbili ya siku ya kumvalisha pete.
All in all hongera zake.
kumbe ajapiga haaa yani anaoa bila kupiga uyu jamaa ana akili kweli uoe bila kupiga wakati wenzie tuna piga na kutia mimba ndo tunaoa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Milioni 8 kwani ina bluetooth au inaimba blues ikiwa inasuguliwa.
hiyo hela angempa mama yake kijijini angeombewa kila dua la heri kuliko kumlipia mtu ambae kuna masela walishabanjuka nae kwa chupa ya togwa tu.
Na hapo katoa milioni 8 lakini hajaionja anasubiri ndoa kwa mujibu wa maelezo yake. Sasa subiri aende huko hiyo siku ya ndoa akute ana ukuni kama wake, nahisi atalia mara mbili ya siku ya kumvalisha pete.
All in all hongera zake.
Una uhakika mama yake anaishi kijijini?
 
Back
Top Bottom